Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Kajitahidi kuzuga ila ndani yake motooo unawakaaa... Kusema kuwa hata angekuta mkewe anatiwaa hapo anaangalia kama anammudu anaemtia au hammudu kama anammudu anadili nae kama hammudu anamchukua mkewe wanasepa ni kufake upendo kwa hali ya juuu na inaonesha amedili na katibu maana anammudu.
Exactly mkuu
 
Kibongobongo wake za watu wanagongwa sana, na hao mume zao nao ni walevi na wazinzi mpaka mimi nashangaa hivi hizi ndoa zenu mlilaziishwa!
 
Jana kapost wanakunywa wine na mkewe kwny bday ya monica
 
Akina dada mnatakiwa mufike kwa wingi kumuona mke wa masanja awajuze alikoipata limbwata alomlisha mumewe
 
Back
Top Bottom