Katibu Mkuu Hazina ni individual responsibility. Ndani ya bodi kuna collective responsibility.
Dah! Utakuwa unapata tabu kuelewa muundo wa taasisi za umma...sijaielewa vizuri hii dhana ya individual vs collective resposibility ktk muktadha wa bodi kama ya Tra.
..kwa mfano, Raisi akivunja bodi ya Tra ambayo ina Katibu Mkuu wa Hazina, akiteua bodi nyingine Katibu Mkuu Hazina aliyefukuzwa ktk bodi ya zamani anakuwepo ktk bodi mpya.
..bado naona maluweluwe.🤣
Dah! Utakuwa unapata tabu kuelewa muundo wa taasisi za umma.
Bodi sio full time job. Sio ajira. Ni part time supervisory role.
Majukumu ya mtu ya kwenye bodi ni tofauti na majukumu yake ya ajira yake.
Hayahusiani...nitakuelewa kama utanihakikishia kwamba wajumbe wa bodi ktk mashirika ya umma ambao hutokea serikalini, kwa mfano Makatibu Wakuu, huwa hawapigi KURA ktk maamuzi ya bodi hizo.
Usikute bodi ndiyo ilkuwa inamkwamisha katibu ambaye ni Mkurugenzi.Kwahiyo Bodi ikivurunda Katibu anapona?
YAPO MAWAZIRI NDIYO MEZI BALAA! YAANI KADOGOSA ASIWE PEKE NAPE NA TTCL, MAKAME MBALAWA NA JANUARI MAKAMBA WOTE WATUPISHE
Hayahusiani.
Anaitwa Masanja Kadogosa, siyo Mkandamizaji bwasheeSasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa
😁😁Anaitwa Masanja Kadogosa, siyo Mkandamizaji bwashee
"Taratibu ni zile zile; wezi ni wale wale; na watu ni wale miaka yote" (TAL)Kama ilivyo halmashaurini ambapo mkurugenzi ni katibu wa baraza la madiwani vivyo kwenye mashirika ya umma mkurugenzi ni katibu wa bodi. Ndio maana kwenye teuzi za bodi ,anateuliwa Mwenyekiti na wajumbe tu ,nafasi ya katibu inakuwa na mtu.
Paskali hizi takwimu wewe umezitoa wapi?Mbona sababu nimeziweka https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/ kuwa JPM hakuteua Wasukuma wengi kwa sababu ya Usukuma wao, bali kati ya watu milioni 60 wa Tanzania, Wasukuma ni 20 millions! ambao ni theluthi moja ya Watanzania hivyo kwenye kila watu watatu mmoja lazima awe Msukuma, alivyofanya JPM ni kuwapatia their deserving positions.
P
Kosa la kupotosha takwimu ni kukukusanya takwimu bila kibali na ku publish matokea ya takwimu hizo zilizokuwa published bila kibali.Paskali hizi takwimu wewe umezitoa wapi?
Hujui kama ni kosa kupotosha takwimu?
Ndio maana nikasema wa muhimu kwenye bodi ni mwenyekiti tu. Wajumbe wana kosa gani?..unawezaji kufukuza bodi ya wakurugenzi, halafu unapoteua mpya, unajumuisha baadhi ya wajumbe uliowatimua awali?
..halafu ufisadi umefanywa na menejiment lakini wanaotimuliwa ni bodi ya wakurugenzi. Huoni kuna utata mwingine hapo?
hapana haiko ivyoMwenye kauli ya mwisho kwenye Bodi ni mwenyekiti wa bodi. Kimsingi, hakuna sababu ya kuvunja bodi yote unless unataka kuweka watu wako. Anayetakiwa kuwajibika kwa bodi ni mwenyekiti.
Ana nafasi yake kama kiongozi mkuu wa bodi. Na inapokuja swala la kuwajibika, awajibike mwenyekiti. Mwenyekiti ndiye husaini documents zinazopita bodi. Hata kwa menejiment, CEO huwajibika na hawezi kusema nilikataa hili kwenye kikao lakini wajumbe walilazimishe ipite. Au kwa maswala muhimu ya fedha, mwenyekiti ana nafasi ya kukataa, itapitaje kama mwenyekiti amekataa? Na je, menejimenti itatekeleza kitu ambacho kilitakiwa kupata baraka za bodi na haijapata?hapana haiko ivyo
mwenyekiti ni mjumbe kama wajumbe wengine, sema yeye kapewa kuongoza kundi la wajumbe na hana kauli ya mwisho
wajumbe hupiga kura ama wazo la wajumbe wengi ndio linapita na sio kauli ya mwenyekiti mkuu
kuna wakati wajumbe wanamkazia mwenyekiti na hafanyi lolote
kuna vitu huelewiAna nafasi yake kama kiongozi mkuu wa bodi. Na inapokuja swala la kuwajibika, awajibike mwenyekiti. Mwenyekiti ndiye husaini documents zinazopita bodi. Hata kwa menejiment, CEO huwajibika na hawezi kusema nilikataa hili kwenye kikao lakini wajumbe walilazimishe ipite. Au kwa maswala muhimu ya fedha, mwenyekiti ana nafasi ya kukataa, itapitaje kama mwenyekiti amekataa? Na je, menejimenti itatekeleza kitu ambacho kilitakiwa kupata baraka za bodi na haijapata?