Masanja Kadogosa katumbuliwa kama Katibu wa Bodi ya TRC. Je, anabaki na Ukurugenzi wake? Kama anabaki nao ni halali?

Masanja Kadogosa katumbuliwa kama Katibu wa Bodi ya TRC. Je, anabaki na Ukurugenzi wake? Kama anabaki nao ni halali?

Katibu Mkuu Hazina ni individual responsibility. Ndani ya bodi kuna collective responsibility.

..sijaielewa vizuri hii dhana ya individual vs collective resposibility ktk muktadha wa bodi kama ya Tra.

..kwa mfano, Raisi akivunja bodi ya Tra ambayo ina Katibu Mkuu wa Hazina, akiteua bodi nyingine Katibu Mkuu Hazina aliyefukuzwa ktk bodi ya zamani anakuwepo ktk bodi mpya.

..bado naona maluweluwe.🤣
 
Dah! Utakuwa unapata tabu kuelewa muundo wa taasisi za umma.
Bodi sio full time job. Sio ajira. Ni part time supervisory role.
 
Majukumu ya mtu ya kwenye bodi ni tofauti na majukumu yake ya ajira yake.
 
Dah! Utakuwa unapata tabu kuelewa muundo wa taasisi za umma.
Bodi sio full time job. Sio ajira. Ni part time supervisory role.

..sasa unaweza vipi kufukuza bodi ya wakurugenzi kwa makosa ya kiutendaji halafu ukaunda bodi mpya yenye baadhi ya wajumbe kutoka bodi uliyoivunja?

..tunaondokana vipi na huu mkanganyiko? Au wewe mwenzangu unaona kila kitu kiko sawa?
 
Mwenye kauli ya mwisho kwenye Bodi ni mwenyekiti wa bodi. Kimsingi, hakuna sababu ya kuvunja bodi yote unless unataka kuweka watu wako. Anayetakiwa kuwajibika kwa bodi ni mwenyekiti.
 
Majukumu ya mtu ya kwenye bodi ni tofauti na majukumu yake ya ajira yake.

..nitakuelewa kama utanihakikishia kwamba wajumbe wa bodi ktk mashirika ya umma ambao hutokea serikalini, kwa mfano Makatibu Wakuu, huwa hawapigi KURA ktk maamuzi ya bodi hizo.
 
..nitakuelewa kama utanihakikishia kwamba wajumbe wa bodi ktk mashirika ya umma ambao hutokea serikalini, kwa mfano Makatibu Wakuu, huwa hawapigi KURA ktk maamuzi ya bodi hizo.
Hayahusiani.
 
YAPO MAWAZIRI NDIYO MEZI BALAA! YAANI KADOGOSA ASIWE PEKE NAPE NA TTCL, MAKAME MBALAWA NA JANUARI MAKAMBA WOTE WATUPISHE

You are expecting too much from Samia!!! She cannot deliver what you are asking for.
 
Kama ilivyo halmashaurini ambapo mkurugenzi ni katibu wa baraza la madiwani vivyo kwenye mashirika ya umma mkurugenzi ni katibu wa bodi. Ndio maana kwenye teuzi za bodi ,anateuliwa Mwenyekiti na wajumbe tu ,nafasi ya katibu inakuwa na mtu.
"Taratibu ni zile zile; wezi ni wale wale; na watu ni wale miaka yote" (TAL)
 
Mbona sababu nimeziweka https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/ kuwa JPM hakuteua Wasukuma wengi kwa sababu ya Usukuma wao, bali kati ya watu milioni 60 wa Tanzania, Wasukuma ni 20 millions! ambao ni theluthi moja ya Watanzania hivyo kwenye kila watu watatu mmoja lazima awe Msukuma, alivyofanya JPM ni kuwapatia their deserving positions.
P
Paskali hizi takwimu wewe umezitoa wapi?

Hujui kama ni kosa kupotosha takwimu?
 
Paskali hizi takwimu wewe umezitoa wapi?

Hujui kama ni kosa kupotosha takwimu?
Kosa la kupotosha takwimu ni kukukusanya takwimu bila kibali na ku publish matokea ya takwimu hizo zilizokuwa published bila kibali.

Mimi nimetumia matokeo ya sensa ya watu na makazi kwa kujumlisha idadi ya Wasukuma ukianza na mikoa ya Kanda ya Ziwa
  1. Mwanza
  2. Shinyanga
  3. Simiyu
  4. Kagera
  5. Musoma
  6. Tabora
  7. Katavi
Halafu wajumlishe na Wasukuma wote waliotapakaa bonde la Ihefu, Morogoro, Nyanda za Juu Kusini.
Wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ndio determinant ya kura za urais wa Tanzania!.

P
 
Binafsi hata akitumbuliwa sijaona mtu mwingine yupo sawa, wote wachumia tumbo tu ni wale wale
 
..unawezaji kufukuza bodi ya wakurugenzi, halafu unapoteua mpya, unajumuisha baadhi ya wajumbe uliowatimua awali?

..halafu ufisadi umefanywa na menejiment lakini wanaotimuliwa ni bodi ya wakurugenzi. Huoni kuna utata mwingine hapo?
Ndio maana nikasema wa muhimu kwenye bodi ni mwenyekiti tu. Wajumbe wana kosa gani?
 
Mwenye kauli ya mwisho kwenye Bodi ni mwenyekiti wa bodi. Kimsingi, hakuna sababu ya kuvunja bodi yote unless unataka kuweka watu wako. Anayetakiwa kuwajibika kwa bodi ni mwenyekiti.
hapana haiko ivyo
mwenyekiti ni mjumbe kama wajumbe wengine, sema yeye kapewa kuongoza kundi la wajumbe na hana kauli ya mwisho

wajumbe hupiga kura ama wazo la wajumbe wengi ndio linapita na sio kauli ya mwenyekiti mkuu

kuna wakati wajumbe wanamkazia mwenyekiti na hafanyi lolote
 
Ana nafasi yake kama kiongozi mkuu wa bodi. Na inapokuja swala la kuwajibika, awajibike mwenyekiti. Mwenyekiti ndiye husaini documents zinazopita bodi. Hata kwa menejiment, CEO huwajibika na hawezi kusema nilikataa hili kwenye kikao lakini wajumbe walilazimishe ipite. Au kwa maswala muhimu ya fedha, mwenyekiti ana nafasi ya kukataa, itapitaje kama mwenyekiti amekataa? Na je, menejimenti itatekeleza kitu ambacho kilitakiwa kupata baraka za bodi na haijapata?
 
k

kuna vitu huelewi
ama unavyo hisi viko hivyo ni hapana
ukiwa katibu wewe ndo mtaalamu na hushauri nini kifanyike, kama ulicho shauri wajumbe hawajakubaliana nacho kwenye muhtasari una andika ushauri wako ulikuwa vp na wajumbe waliamua vipi

kuwa mwenyekiti na kusaini document haikufanyi usaini unacho taka wewe tu. kuna wakati wajumbe wana amua usiyo yataka na document una saini mkuu

sasa kama ni kusaini upendayo wewe tu kuna haja gani kuwa na wajumbe si akae mwenyekiti na katibu wapitishe wanayo taka wao kisha wasaini

maamuzi ya bodi huenda kwa kupiga kura ama upande wenye kura nyingi ndo huamua jambo si mwenyekiti wala katibu
 
Back
Top Bottom