Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 301
- 856
Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu.....
"Nimeona story ya Kuchomoa gari!!
ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!"
Ameendelea kusema....
"Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe ulipo!!"
Pia ametuma ombi kwa Nabii mkuu...
"Kama Nabii ana nyingine yoyote Pale ndani anasikia ndani kumbariki mtu wala usipige simu nabii mkuu nikuni beep tu ntakuwa Kisongo shaaaaa
Nakumbuka wakati wa uzinduzi wangu wa albamu ya HAKUNA JIPYA uwanja wa SHEKHE AMRI ABEID ARUSHA
Nabii mkuu alishuka na helcopta akanipa Milioni kadhaa na mpaka leo namalizia ghorofa na nyota inazidi kung’aa".
#Nimelia sana ile Benz inavyounguaaaaa😌
#JiweWalikoKataaWaashi
Bishop Masanja Mkandamizaji.
Ushauri wangu ni huu...
Mliopewa zawadi na nabii mkuu wasilianeni na Bishop kabla mapepo ya kuteketeza zawadi hayajawavagaa.