Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

Uungwana kama hutaki tena kitu ulichopewa na mtu mrudishie tu aliyekupa maana kuna wahitaji wengi sema yule kijana ana matatizo yupo kama mtoto wa kike na ni mtu wa kujisikia sikia hivi huenda maisha yake aliyokulia yalikuwa tia maji tia maji sasa analeta ulimbukeni wake.
 
Uungwana kama hutaki tena kitu ulichopewa na mtu mrudishie tu aliyekupa maana kuna wahitaji wengi sema yule kijana ana matatizo yupo kama mtoto wa kike na ni mtu wa kujisikia sikia hivi huenda maisha yake aliyokulia yalikuwa tia maji tia maji sasa analeta ulimbukeni wake.
Kalikataa sasa unafanyaje labda kwenye kulikataa alimwambia akalitie kiberiti
 
Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu.....

"Nimeona story ya Kuchomoa gari!!
ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!"

Ameendelea kusema....

"Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe ulipo!!"

Pia ametuma ombi kwa Nabii mkuu...

"Kama Nabii ana nyingine yoyote Pale ndani anasikia ndani kumbariki mtu wala usipige simu nabii mkuu nikuni beep tu ntakuwa Kisongo shaaaaa

Nakumbuka wakati wa uzinduzi wangu wa albamu ya HAKUNA JIPYA uwanja wa SHEKHE AMRI ABEID ARUSHA
Nabii mkuu alishuka na helcopta akanipa Milioni kadhaa na mpaka leo namalizia ghorofa na nyota inazidi kung’aa".

#Nimelia sana ile Benz inavyounguaaaaa😌
#JiweWalikoKataaWaashi

Bishop Masanja Mkandamizaji.

Ushauri wangu ni huu...
Mliopewa zawadi na nabii mkuu wasilianeni na Bishop kabla mapepo ya kuteketeza zawadi hayajawavagaa. View attachment 3213736
Hawa watu wana mungu wao wanaojuana naye.
Sisi tunaye Mungu mmoja aliye muumba wa yote
 
Dogo alikosea kulichoma moto lile gari. Kama aliona halimfai au limemletea nuksi, angemrudishia mhusika aliyempa, angeliuza, au na yeye angeligawa kwa mtu mwingine! Na siyo kulichoma moto. Ule siyo uungwana hata kidogo.
 
Mambo ya kiroho ni magumu sana kuchoma moto au kurudisha kwa mwenyenalo lipi lingekuwa bora ,yuda aliye pewa vipande 30’vya pesa na kumsaliti yesu alipoona mambo yameenda ndivyo sivyo alirudisha kwa wakuu waliompa wakazikaaa akatupa mle hekaruni

Mathayo 27:3 Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nalikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia. Then Judas, which had betrayed him, when he saw that he was condemned, repented himself, and brought again the thirty pieces of silver to the chief priests and elders,
Mathayo 27:4 Wakasema, Basi, haya yatupasani sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe. Saying, I have sinned in that I have betrayed the innocent blood. And they said, What is that to us? see thou to that.
Mathayo 27:5 Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga. And he cast down the pieces of silver in the temple, and departed, and went and hanged himself.
Mathayo 27:6 Wakuu wa makuhani wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Si halali kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu. And the chief priests took the silver pieces, and said, It is not lawful for to put them into the treasury, because it is the price of blood.
Mathayo 27:7 Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. And they took counsel, and bought with them the potter's field, to bury strangers in.
Mathayo 27:8 Kwa hiyo konde lile huitwa konde la damu hata leo. Wherefore that field was called, The field of blood, unto this day.
Tuchukulie kwamba lilirudishwa, mtu akakataa kulipokea
 
Back
Top Bottom