Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
๐๐๐๐๐Eti masanja nae anajiita bishop!? Jamani hivi vyeo vya kujipachika ipo siku watu watajiita vijimungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Eti masanja nae anajiita bishop!? Jamani hivi vyeo vya kujipachika ipo siku watu watajiita vijimungu
nilimsikia akitaja neno madhabahuMkuu
Mkuu ungetuchambulia hilo tukio Kwa muktadha wa kiroho, badala ya kutumiminia vifungu tuu, sisi mangumbaru wa mambo ya neno tupate japo picha!
Hayo yatakuwa ni magari yenye maddudu yenye utata ndani yake"Nimeona story ya Kuchomoa gari!!
ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!"
Ameendelea kusema....
"Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe ulipo!!"
Na wwahuni nao wanapitia humohumo wakimtaja Yesu machoni huku rohoni wakiwa na yaoJibu lilikuwa la kiroho kwani kumleta mwimbaji katika hudumu ile ilikuwa kuhalalisha kwamba wote ni wa imani hiyo na support ilikuwa kuuqmbia umma kwamba wote wanafanya kazi moja ni ngumu kwa rugha nyepesi kuelezea
Hana imani muhuni tu mtu mwenye imani hawezi kuchoma moto hela wakati wahitaji wakihangaika huko hospital au imani umeichukulia vip mkuu..Imani ni matendo yako.Huyu jamaa nimesoma naye.
Very talented kwenye kuimba, melody, kutengeneza beats na kupiga vyombo. Hakosi kanisani kila Jumapili na tulikua chaka haswa so kama alikua anaenda kanisani kule chaka hua nashangaa watu wanaodoubt imani yake na wamemjua kupitia TV.
Nikamuuliza atajiunga na nani ili atoboe Bongo Fleva akajibu mpango wake ni kumuimbia Mungu. Hiyo ni wayback Kitulo FM inapokea CDs za mwanamuziki yoyote lakini alisema atakomaa asome akimaliza ndiyo hustle za injili zianze.
I just hope imani aliyokua nayo wakati tupo shule atakua nayo kipindi hichi pia.
Ndiyo sababu nikasema irudi ile niliyoishuhudia akiwa bado anasoma.Hana imani muhuni tu mtu mwenye imani hawezi kuchoma moto hela wakati wahitaji wakihangaika huko hospital au imani umeichukulia vip mkuu..Imani ni matendo yako.
Ni hela za mikosiWarudishe kwa sababu gani
Kwa kutumia imani alionayo mchoma gari hakuweza kubaini kwamba mahala alipoenda kupokea zawadi panakinzana na imani yake?nilimsikia akitaja neno madhabahu
Madhabahu nyakati za biblia ilikuwa inatumiwa na watu wa imani fulahi katika kumtolea Mungu wao sadaka ,kwa namna hiyo unapotaja madhabahu unamaanisha kitu kiabuduacho
Kwa nyati nyingi madhabahu au kwa asili sehemu ya kutolea sadaka kienyeji nyakati za mababu waliota sehemu ya kutambikia zote hizo no madhabahu ilimwakilisha mungu flani
Tuje kwenye tukio lenyewe
Nabii aliyetoa gari ukiulizwa leo utasema ni mkristo au ni wa imani gani kulingana na madundisho yake kama umewahi kumsikia
Kwa mwimbaji wa nyimbo ni wazi kabisa nyimbo zake zinamtaja yesu kuonyesha yeye ni wa imani hiyo
Tukio la xawadi je lilikuwa la kiroho au la kawaida
Jibu lilikuwa la kiroho kwani kumleta mwimbaji katika hudumu ile ilikuwa kuhalalisha kwamba wote ni wa imani hiyo na support ilikuwa kuuqmbia umma kwamba wote wanafanya kazi moja ni ngumu kwa rugha nyepesi kuelezea
Kula nyama sio tatizo ila kula nyama ambayo imetolea sadaka kwa miungu ni kosa
Matendo ya Mitume 15:20 bali tuwaandikie kwamba wajiepushe na unajisi wa sanamu, na uasherati, na nyama zilizosongolewa, na damu. But that we write unto them, that they abstain from pollutions of idols, and from fornication, and from things strangled, and from blood.
Matendo ya Mitume 15:21 Kwa maana tangu zamani za kale Musa anao watu wahubirio mambo yake; katika kila mji husomwa kila sabato katika masinagogi. Barua ya Baraza kwa Waumini wa Mataifa For Moses of old time hath in every city them that preach him, being read in the synagogues every sabbath day.
Zawadi kiroho utumika kama njia ya kuonyesha umemkubali mtu huyo na lolote analofanya ni sahihi
Mwanzo 33:10 Yakobo akasema, Sivyo; kama nimekubalika machoni pako tafadhali upokee zawadi yangu mkononi mwangu, iwapo nimeona uso wako kama kuona uso wa Mungu, ukapendezwa nami. And Jacob said, Nay, I pray thee, if now I have found grace in thy sight, then receive my present at my hand: for therefore I have seen thy face, as though I had seen the face of God, and thou wast pleased with me.
Wakati wa escrow kila alipokea zawadi ya pesa alihukumiwa mkosa wa kukubaliana na wizi hule
Zawadi ile ilikuwa na maana zaidi kiroho kwani huduma zao hazichangamani ni itikati tofauti
Hivyo kuna siri nyuma ya pazia ya kufanya hivyo
Inategemea amepata ufunio Gani kwenye hiyo zawadi......kama amepata ufunuo wa mabaya sio viziri ampe mwingine hiyo gari ili yamkute huyo mabaya .Hana imani muhuni tu mtu mwenye imani hawezi kuchoma moto hela wakati wahitaji wakihangaika huko hospital au imani umeichukulia vip mkuu..Imani ni matendo yako.
Kiroho Kuna mambo MUNGU anakuficha ili ujue ukuu wake,Kwa kutumia imani alionayo mchoma gari hakuweza kubaini kwamba mahala alipoenda kupokea zawadi panakinzana na imani yake?
Yupo mbali na Mungu yule, Kama angekuwa na Mungu asingeweza kulichukua. Sasa badala yakurudi kwa Mungu kisawasawa et anachoma gari kudhani ndo nyota itang'aa.Sio kila mnaloliona gari ni gari halisi,Mengine rohoni,jicho la tatu likifunguka ni fisi,majeneza tu hayo...pengine kaoneshwa ya rohoni.
Kila upande una series ya manabii kuelekea ujio wa mkuu wao.Nabii wa mwisho alikua Yohana mbatizaji, ambaye alitoa unabii wa ujio wa Yesu masihi na kutengeneza njia, hawa manabii wengine waliokuja baada ya hapo ni akina nani.