Diamond kawekeza wapi??
Masanja ana yale mashamba ya mpunga hekari kibao ..., mjumba wake ule
Injili inalipa siku hizi..
Kwa hiyo vijana tuivamie injili? Manake hii kitu inaonekana ukiwa na maneno mengi kama dikshonari ya Oxford unapata wateja wa chap chap! Kumbe jamaa alipokuja Moro pale mjini kuhubiri alikuwa anapiga biashara eeh!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Diamond kawekeza wapi??
Huoni siku hizi anaombea watu wanapona.. anajiita Street Pastor na siku hizi anazunguka mikoa kibao kutembeza injili.....
ndio hizo ana invest
Kama una upako ingia, mie nna uncle wangu ana kanisa lake Tabata mambo si haba
Ninafungua kanisa wapendwa mniunge mkono
Huoni siku hizi anaombea watu wanapona.. anajiita Street Pastor na siku hizi anazunguka mikoa kibao kutembeza injili.....
ndio hizo ana invest
Kama una upako ingia, mie nna uncle wangu ana kanisa lake Tabata mambo si haba
Ka upako kapo ila mpaka kaboreshwe! Hongera zake as anaitumia fursa vizuri, ngoja na sie tujipange!
Ila hata yale ma utani yake yanamlipa hasa ktk kukusanya watu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ninafungua kanisa wapendwa mniunge mkono
Jipange sawa sawa as kuna mmoja pale Mabibo huishia kuhubiri viti tu. Mwingine pale Morogoro maeneo ya Nane nane ana muumini mmoja wa kudumu.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums