Masanja Mkandamizaji amzidi Utajiri Diamond Platnumz

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Wadau.

Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga.

Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu.

Nilifahamu ana kipato kizuri lakini amekuaje kiasi cha kumzidi Diamond?

Mungu ambarikie zaidi

Asante

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Masanja ana yale mashamba ya mpunga hekari kibao ..., mjumba wake ule

Injili inalipa siku hizi..

Kwa hiyo vijana tuivamie injili? Manake hii kitu inaonekana ukiwa na maneno mengi kama dikshonari ya Oxford unapata wateja wa chap chap! Kumbe jamaa alipokuja Moro pale mjini kuhubiri alikuwa anapiga biashara eeh!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kawekeza kwa mama ubaya,penseli,kinukta etc
Ha ha haa haaa, kumbe jamaa lile jina la Dangote linamaanisha kumiliki hao viumbe kwa wingi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Waumini wa kanisa la Mito ya baraka, tafadhari mkitoka kanisani mtuambie huko kuna miradi gani ya ujasiliamali ili tuje tujisajiri na sisi kondoo wa Bwana tusiishie kula jangwani maana chanzo kimojawapo cha ukwasi wa kijana mwenzetu Masanja kimetajwa ni huko kanisani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa hiyo vijana tuivamie injili? Manake hii kitu inaonekana ukiwa na maneno mengi kama dikshonari ya Oxford unapata wateja wa chap chap! Kumbe jamaa alipokuja Moro pale mjini kuhubiri alikuwa anapiga biashara eeh!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Huoni siku hizi anaombea watu wanapona.. anajiita Street Pastor na siku hizi anazunguka mikoa kibao kutembeza injili.....
ndio hizo ana invest

Kama una upako ingia, mie nna uncle wangu ana kanisa lake Tabata mambo si haba
 
Ninafungua kanisa wapendwa mniunge mkono
 
Ka upako kapo ila mpaka kaboreshwe! Hongera zake as anaitumia fursa vizuri, ngoja na sie tujipange!
Ila hata yale ma utani yake yanamlipa hasa ktk kukusanya watu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ninafungua kanisa wapendwa mniunge mkono

Jipange sawa sawa as kuna mmoja pale Mabibo huishia kuhubiri viti tu. Mwingine pale Morogoro maeneo ya Nane nane ana muumini mmoja wa kudumu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ka upako kapo ila mpaka kaboreshwe! Hongera zake as anaitumia fursa vizuri, ngoja na sie tujipange!
Ila hata yale ma utani yake yanamlipa hasa ktk kukusanya watu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Pale kwenye maombezi watu wengine ndio hivyo wanaenda kumuona masanja live as wamezoea kumuona kwenye kideo tu.

Comedy pekee ingekuwa inalipa hata kina joti wangekua washafanya investment
 
Bongo bana. Acha mi niendelee kubeba boksi hapa Copenhagen. Kwa saa 170 krone hupo hapo. Nå Naanza kufagia nakuosha vyombo makampuni matatu tofauti. Nikiamka alfajir saa 10 kurudi ghetto amambayo ni shared apartment ni saanne ucku. Ni jpili tu ndio na pumzika. @ a young age of just 25 I work very hard and earn legally. I abide to this country laws and I faithfully pay my taxes and bills without delay. Am financially disciplined. Kwa sikuwnakuingizia more than 2000 krone hata wakinikata kodi nå bills na cheza na madaf kama laki 5 iv. Wewe KJ endelea kututukana tu. I really hate this 56 years old ignorant stupid anti diaspora man.
 
Jipange sawa sawa as kuna mmoja pale Mabibo huishia kuhubiri viti tu. Mwingine pale Morogoro maeneo ya Nane nane ana muumini mmoja wa kudumu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Wamekurupuka hao
 
Back
Top Bottom