FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Injili inalipa bana, muhimu uwe na maneno matamu, kama ni kuponya ni imani zao waumini wenyewe Pastor anaPLAY role kama dalali tu... Kuna mmoja huku kwetu yeye kila wiki anatamka neno, mfano anasema "hii ni wiki ya kupokea baraka" kinachofuatia hapo ni waumini kuchangishwa pesa anazoziita " sadaka ya (kujiconnect) kujiunga na neno hilo" ........ Zishukuriwe hizi teknolojia za M fedha, Pigo hela, Eatell mane.......alafu tax free, yeye anakusanya tu....Mungu ampe nini....anatembelea E voque, jumba la kifahari, Watoto wanakwea pipa kama daladala.... So unayefikiri injili hailipi, tulizana ufikirie upya..... Na wana akili kweli, hutosikia wameenda vijijini, wote wamebanana mijini as if kule vijijini hawana UHITAJI.