Masanja Mkandamizaji amzidi Utajiri Diamond Platnumz

Injili inalipa bana, muhimu uwe na maneno matamu, kama ni kuponya ni imani zao waumini wenyewe Pastor anaPLAY role kama dalali tu... Kuna mmoja huku kwetu yeye kila wiki anatamka neno, mfano anasema "hii ni wiki ya kupokea baraka" kinachofuatia hapo ni waumini kuchangishwa pesa anazoziita " sadaka ya (kujiconnect) kujiunga na neno hilo" ........ Zishukuriwe hizi teknolojia za M fedha, Pigo hela, Eatell mane.......alafu tax free, yeye anakusanya tu....Mungu ampe nini....anatembelea E voque, jumba la kifahari, Watoto wanakwea pipa kama daladala.... So unayefikiri injili hailipi, tulizana ufikirie upya..... Na wana akili kweli, hutosikia wameenda vijijini, wote wamebanana mijini as if kule vijijini hawana UHITAJI.
 
kweli kabsaa mdau,vijijini hawataki,dah! kweli injili imevamia.
 
kwangu kila ukija ibadani unapata 5000
Kuna mmoja alikuwa anagawa pombe za kienyeji, mbona kanisa lilikuwa linajaa!
Kuwa wajapani nao walianzisha lao, kila anayebatizwa alilipwa elfu 12, watu walijaa haswa ila jamaa cjui waliishia wapi. Kuwekeza ni akili tu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Injili inalipa bana, muhimu uwe na maneno matamu, kama ni kuponya ni imani zao waumini wenyewe Pastor anaPLAY role kama dalali tu... Kuna mmoja huku kwetu yeye kila wiki anatamka neno, mfano anasema "hii ni wiki ya kupokea baraka" kinachofuatia hapo ni waumini kuchangishwa pesa anazoziita " sadaka ya (kujiconnect) kujiunga na neno hilo" ........ Zishukuriwe hizi teknolojia za M fedha, Pigo hela, Eatell mane.......alafu tax free, yeye anakusanya tu....Mungu ampe nini....anatembelea E voque, jumba la kifahari, Watoto wanakwea pipa kama daladala.... So unayefikiri injili hailipi, tulizana ufikirie upya..... Na wana akili kweli, hutosikia wameenda vijijini, wote wamebanana mijini as if kule vijijini hawana UHITAJI.

Nenda kaanzishe kanisa huko Chankabwimba, Sitimbi, Mdaula, Nyanzige uone kama kwa Jumapili hukusanyi Tsh 135 na utashangaa hiyo sh. 5 imetoka wapi wakati cku hizi hazipatikani.
Mjini mipango, ukipata matajiri kama 10 kanisani kwako utasahau hata kuomba kazi serikalini au kwa sekta binafsi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
huyo mtu kajipaisha sana... anatakiwa ajue wapo waliopitia hayo maisha wakiwa wanafanya kazi na allowances za scholarship wanapata. Kodi na bills zipo juu sana, savings ni ndogo mno. wana nafuu wale wanaosoma maana wapo exempted na baadhi ya bills na kodi pia. siku ukimaliza shule na kuingia mtaani uishi kama wazungu, mbona utaomba kurudi bongo.

wapo wanaokuja bongo na vizawadi ambavyo hata hapa vinapatikana (bongo siku hizi kila kitu kipo), na wanakuta wenzao waliograduate nao washafikia ranks za usenior kama sio ukurugenzi na business zao binafsiwanazo, wakati aliyejilipua huko majuu unakuta hata kiwanja hana.

Dah! Watu mnajua kuwaumbua!!!
Ukweli unauma, ni kweli Ulaya wageni wanatozwa kodi kubwa, nimewahi ona hata wacheza mpira Spain wanagomea kodi kubwa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuna mmoja alikuwa anagawa pombe za kienyeji, mbona kanisa lilikuwa linajaa!
Kuwa wajapani nao walianzisha lao, kila anayebatizwa alilipwa elfu 12, watu walijaa haswa ila jamaa cjui waliishia wapi. Kuwekeza ni akili tu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

na mipango pia
 
Ahhhhha inabidi nianze injili naona mambo s mabaya naweza kua bilionea ahahha

Tena ukivua hiyo hijabu ukasema umeokoka dah!
Ila jipange haswaa

Back
Top Bottom