Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wewe huna nafasi ya kuhukumu, piga kimya.Mungu hakaagi kwenye mijengo inayoweza kulipuka na kubaki majivu..
Bishop angelijua hili wala asingehangaika kupiga hela za watu kwa kisingizio cha kumjengea Mungu..
Hapo kashusha mjengo wa makahaba na wauza unga tu na ndio watoa michango (sadaka) wake.
Unayajua maandiko wewe?Wewe huna nafasi ya kuhukumu, piga kimya.
Ni suala tu la muda. Mkiona wenzenu wanazidi kutajirika, na nyinyi mtafuata tu mkumbo.Kwetu Islam tukishajenga mjengo wa ibada tunakabodhi maimam ili watoe huduma. Yaani no return on investment. Ila upande mwingine sasaa.
Sasa unataka waabudu chini ya mpera. Kwahiyo wewe hilo jengo ndiyo limekukera.Unayajua maandiko wewe?
Mungu ni Roho nao wamwabuduo inawapasa wamuabudu katika roho na kweli na sio katika majengo yawezayo kuporomoka
Wapi nimehukumu?
Usanii umehamia kwenye dini.Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
View attachment 3184878
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuwa kitovu cha ibada na huduma za kiroho kwa jamii.
View attachment 3184876
Sasa unataka waabudu chini ya mpera. Kwahiyo wewe hilo jengo ndiyo limekukera.