Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Wapagani huwa ndio watoa sadaka kwa simu na ndio wawezeshaji wakubwa kwa watumishi wapigaji..Wapagan mumekuwa wengi sana aisee
Unalijua hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapagani huwa ndio watoa sadaka kwa simu na ndio wawezeshaji wakubwa kwa watumishi wapigaji..Wapagan mumekuwa wengi sana aisee
Usalama wa Taifa Tanzania umelala ,wanatakiwa wafanye investigation wangegundua utapeli mwingi sana
Matokeo yake wapo bize na Upinzani
Mfano Kiboko ya wachawi,bila kujichanganya yeye mwenyewe angeendelea kuibia watu Hadi sasa
Sasa Sampuli ya kina Kiboko ya wachawi ni wengi sana ,mwamposa,masanja,Bushiri,mwingira,kuhani Musa, n.k
HakikaAmejenga duka la kukusanyia mapato.
Na atawakamua kisawasawa aise.
Mambo ya ROIKwetu Islam tukishajenga mjengo wa ibada tunakabodhi maimam ili watoe huduma. Yaani no return on investment. Ila upande mwingine sasaa.
... sijui kwanini, lakini kama nikiamua 'kuokoka' basi ni Masanja au Gwajima! ... they're simply my type regardless all the lies!Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
View attachment 3184878
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuwa kitovu cha ibada na huduma za kiroho kwa jamii.
View attachment 3184876
Utumwa wa kiakili. Heri angeanzisha hospitali au shule ikasaidia watanzania wote badala ya huu utapeli wa kuuza neno la Mungu.Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
View attachment 3184878
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuwa kitovu cha ibada na huduma za kiroho kwa jamii.
View attachment 3184876
Huwezi kutumikia mabwana wawili. yeye si wawili watatu.Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu
Unasali hapo?Ila Mwingira ni WA ukweli kaka,True Prophet
Halafu anakuja mwenye njaa hana hata ajira anatukanaUtumwa wa kiakili. Heri angeanzisha hospitali au shule ikasaidia watanzania wote badala ya huu utapeli wa kuuza neno la Mungu.
Acheni unafiki.Angejenga Casino hapo mngempigia makofi.Wabongo hamueleweki mnataka nini?Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
View attachment 3184878
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuwa kitovu cha ibada na huduma za kiroho kwa jamii.
View attachment 3184876
Kuna quote moja ya mwanaJF wa zamani nimemsahau jina alikuwa akisema "miafrika ndivyo ilivyo"Mwisho wa ubunifu wa mwafrika
Halafu utajua tu miafrika na roho za kichawi
Angefungua kiwanda na kuajiri watu 200 angepata baraka zaidi
Ila hii biashara ni kuchuma hapa duniani tu
Matumbo haya
Unakuta mpaka viongozi wakubwa wanajilimbikizia bila kujali wananchiKuna quote moja ya mwanaJF wa zamani nimemsahau jina alikuwa akisema "miafrika ndivyo ilivyo"
Acha ukanjanja. Hakuna kitu kama hicho. Ungesema kuwa unasukumwa na kukata tamaa na kutojiamini na kujitahamini ningekuelewa mwanangu.Kuna quote moja ya mwanaJF wa zamani nimemsahau jina alikuwa akisema "miafrika ndivyo ilivyo"