Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

Ila Mwingira ni WA ukweli kaka,True Prophet
 
... sijui kwanini, lakini kama nikiamua 'kuokoka' basi ni Masanja au Gwajima! ... they're simply my type regardless all the lies!
🤣
 
Utumwa wa kiakili. Heri angeanzisha hospitali au shule ikasaidia watanzania wote badala ya huu utapeli wa kuuza neno la Mungu.
 
Acheni unafiki.Angejenga Casino hapo mngempigia makofi.Wabongo hamueleweki mnataka nini?
 
Kuna quote moja ya mwanaJF wa zamani nimemsahau jina alikuwa akisema "miafrika ndivyo ilivyo"
Acha ukanjanja. Hakuna kitu kama hicho. Ungesema kuwa unasukumwa na kukata tamaa na kutojiamini na kujitahamini ningekuelewa mwanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…