Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Sijui ni macho yangu au lah Huo mradi mbona wa kawaida sana
Wewe wako exceptional ni upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni macho yangu au lah Huo mradi mbona wa kawaida sana
majibu yote unayo kichwani mwake...teh teh tehNdo ujiulize sasa , hao wakina Joti na Mpoki kama watu wake wa karibu hawautaki huo utajiri kama wake? yaani kabisa wamwone mwenzao analima sijui Mbeya anaingiza mabilioni wao watulie tu?? kwamba wote wameshindwa kumuiga?
kwa hiyo wewe ni tajiri???Mkuu acha kushadadia mambo mengine yapo wazi tu hakuna utajiri ndan ya miaka 3 cjui 2 umiliki ndege, mgodi,magorof,mashamba .. Kuna namna
Wengi walisema hivyo mwishowe lakini mwishowe ukweli hudhiri,tumeona wangapi sembuse huyo Masanja.dua la kuku......
Kwahiyo mkuu jamaa anahusika kabisa na illegal business ama unamaanisha nn,,na kama anahusika ni biashara gani hiyo anayoshiriki.??we nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.
Ndo uwezo wako wakufikiri ulipoishia,,,,,,Wanawake wa dar mlio zoea kuongwa mkishinda mnapaka make up na kusubiri mabwana na wanaume wa dar wanaoshinda kwenye porojo na kuishi kwa ujanja ujanja wakati huu maisha hayo hayapo Wapiga kazi tu na matajiri mtaishi kuwafahamu na kulike picha zao.
Mtu ana x6 kijana hana ata 40's unasema sio tajr ana mashine ya kuvuna mpunga ya maana millions of money kuinunua unasema sio tajr tutakaa na majungu hata kama sio halali ni juhudi zake acha majungu tafta means uwe kama yy ama umzd apo criticize den
Anaingiza mzigo kwenye legal system!The comedy inaendelea ,ki
Kila kitu anachokifanya anataka kukionyesha kwa jamii,kuna nini nyuma ya pazia anakitakatisha?
Mega pixel za siku.?Masanja ni mpigaji, muhuni mkubwa nimekaa nae hata kabla ya kuanza uchungaji wake kuna majamaa flani mapacha wakenya ndio ma role model wake, pesa Anapatia kwenye uchungaji sasa namna ya kuzitakatisha ndio anakuja na miradi hii, ile siku pale leaders alivyokuwa anawaelezea wale jamaa na tukaenda nae kwenye huo mkutano wao kariakoo nilihisi huyu jmaa ndio lucifer mwenyewe
Aliwapamba kuwa ni wacha Mungu ila na anasa za dunia wanfanya, wana magari mazuri, wanakula bata n.k baada ya miezi kadhaa nasikia eti ni mchungaji
salama mkuu kahtaan upo?, hawa wachungaji feki wametabiriwa hadi kwenye Biblia takatifuMega pixel za siku.?
umesahau kuwa hakuna biashara nzuri kama uchungaji ?
mtazame Gwajima na Wengine. akiamka asubuhi ahakikishe sauti yake inatoka vizuri tu bila mikwaruzo anapiga pesa ndefu.
mimi ningekuwa simuogopi Mungu ningeanzisha kanisa vilevile.
hakuna issue yenye pesa kama hii.
kondoo wengi mno. kikubwa ujue kupiga kelele tu kwa kituo.