Masanja mkandamizaji atembelea mgodi wake wa dhahabu

Masanja mkandamizaji atembelea mgodi wake wa dhahabu

Ndo ujiulize sasa , hao wakina Joti na Mpoki kama watu wake wa karibu hawautaki huo utajiri kama wake? yaani kabisa wamwone mwenzao analima sijui Mbeya anaingiza mabilioni wao watulie tu?? kwamba wote wameshindwa kumuiga?
majibu yote unayo kichwani mwake...teh teh teh
 
MASANJA afanye yooote haya. Ila kuhusu UCHUNGAJI, hapana!
 
mbona kama ana pupa sana....afu ya nini showoff??
 
Watoto na vijana wanaokaa kwa mashemeji zao na wanao subiri nyumba za urithi mtaishia kuponda na kukosoa juhudi za wafanya kazi,
Kuzaliwa masikini sio kosa lako ila kufa masikini ni kosa lako binafsi.
 
Wanawake wa dar mlio zoea kuongwa mkishinda mnapaka make up na kusubiri mabwana na wanaume wa dar wanaoshinda kwenye porojo na kuishi kwa ujanja ujanja wakati huu maisha hayo hayapo Wapiga kazi tu na matajiri mtaishi kuwafahamu na kulike picha zao.
Mtu ana x6 kijana hana ata 40's unasema sio tajr ana mashine ya kuvuna mpunga ya maana millions of money kuinunua unasema sio tajr tutakaa na majungu hata kama sio halali ni juhudi zake acha majungu tafta means uwe kama yy ama umzd apo criticize den
 
we nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.
Kwahiyo mkuu jamaa anahusika kabisa na illegal business ama unamaanisha nn,,na kama anahusika ni biashara gani hiyo anayoshiriki.??
 
Connect dots hapa,,utajiri wa haraka + kuwa kada wa ccm ghaflaa,,,,hapa unapata utakatishaji wa pesa.
 
Wanawake wa dar mlio zoea kuongwa mkishinda mnapaka make up na kusubiri mabwana na wanaume wa dar wanaoshinda kwenye porojo na kuishi kwa ujanja ujanja wakati huu maisha hayo hayapo Wapiga kazi tu na matajiri mtaishi kuwafahamu na kulike picha zao.
Mtu ana x6 kijana hana ata 40's unasema sio tajr ana mashine ya kuvuna mpunga ya maana millions of money kuinunua unasema sio tajr tutakaa na majungu hata kama sio halali ni juhudi zake acha majungu tafta means uwe kama yy ama umzd apo criticize den
Ndo uwezo wako wakufikiri ulipoishia,,,,,,

Pathetic
 
Nchi hii ukiwa masikini watu watakusema kuwa huyu nae hivi na hivi
Ukifanikiwa pata hata ya kubadili gari ma mboga maneno hayataisha bado utasikia muuza madawa, mara mchawi mara mwizi mara fisadi mara

Sijui ufanye nini dunia hii ili watu wasikiongee kwa mabaya

Kiukweli wanadamu hawana jema hata kidogo
 
Masanja ni mpigaji, muhuni mkubwa nimekaa nae hata kabla ya kuanza uchungaji wake kuna majamaa flani mapacha wakenya ndio ma role model wake, pesa Anapatia kwenye uchungaji sasa namna ya kuzitakatisha ndio anakuja na miradi hii, ile siku pale leaders alivyokuwa anawaelezea wale jamaa na tukaenda nae kwenye huo mkutano wao kariakoo nilihisi huyu jmaa ndio lucifer mwenyewe

Aliwapamba kuwa ni wacha Mungu ila na anasa za dunia wanfanya, wana magari mazuri, wanakula bata n.k baada ya miezi kadhaa nasikia eti ni mchungaji
Mega pixel za siku.?
umesahau kuwa hakuna biashara nzuri kama uchungaji ?
mtazame Gwajima na Wengine. akiamka asubuhi ahakikishe sauti yake inatoka vizuri tu bila mikwaruzo anapiga pesa ndefu.
mimi ningekuwa simuogopi Mungu ningeanzisha kanisa vilevile.
hakuna issue yenye pesa kama hii.
kondoo wengi mno. kikubwa ujue kupiga kelele tu kwa kituo.
 
salama mkuu kahtaan upo?, hawa wachungaji feki wametabiriwa hadi kwenye Biblia takatifu
 
Back
Top Bottom