Masanja Mkandamizaji: Msinifananishe na Mchungaji wenu

Daima nitamchukulia Masanja Mkandamizaji kama mchekeshaji!Badala ya Mchungaji. Na kiukweli enzi zake akiwa Orijino comedy alikuwa akinikosha sana pale alipoigiza kama Mgosi!

Huku akivaa suruali ya kubana na kuichomekea skwenye zile soksi zake ndefu! Na lile wig lake kichwani! Halafu anauza karanga na goma!!!
 
Huyu kafyatuka akili, asipokaa sawa na kujitafakari, ataacha historia mbaya, asije akadhani injili ni karata tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…