Masanja Mkandamizaji: Msinifananishe na Mchungaji wenu

Masanja Mkandamizaji: Msinifananishe na Mchungaji wenu



Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane nao mpaka mavazi.

Amesema “Msinifananishe na mtumishi wenu bali mwambieni mtumishi wenu afanane na mimi kwa sabanu yeye ni mtumishi wa kisasa zaidi.”

Ameeleza hayo Jijini Dar es Salaam wakati anaongea na waandishi kuhusu kampeni za kudumisha Uzalendo kwa Watanzania ili kuyasifia na kuyatangaza mambo mazuri ya taifa la Tanzania.

Mbali na hilo kampeni hii inahusu kuhamasisha zoezi la Sensa ya watu na makazi ambayo itafanyika tarehe 23-8-2022.

Chanzo: Bongo5
Kwakuwa yeye yuko hivi 👇
Ngoma imelia mno sasa imeonyesha ufa

 
Aiseee, ila kiukwel wanawake siku hizi wamekuwa cheap sana, ni wachache sana wanaojielewa, yaani saizi awe ameolewa au hajaolewa mwendo ni ule ule, uwe na hela au usiwe na hela ataliwa tu kama kichwani hazifanyi kazi. Au Baba mchungaji alikuwa bize na huduma
 
Ndugu wa mke wa masanja na masanja mwenyewe wakae nao karibu,chochote kinaweza kutokea,nasema tena tena kwa kizungu "Anything can happen to them at any time.
 
Back
Top Bottom