Masanja Mkandamizaji: Msinifananishe na Mchungaji wenu

Nasikia mkewe kaliwa kiboga na muumini. By Kigogo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜
 
Kwakuwa yeye yuko hivi πŸ‘‡
Ngoma imelia mno sasa imeonyesha ufa

 
Aiseee, ila kiukwel wanawake siku hizi wamekuwa cheap sana, ni wachache sana wanaojielewa, yaani saizi awe ameolewa au hajaolewa mwendo ni ule ule, uwe na hela au usiwe na hela ataliwa tu kama kichwani hazifanyi kazi. Au Baba mchungaji alikuwa bize na huduma
 
Ndugu wa mke wa masanja na masanja mwenyewe wakae nao karibu,chochote kinaweza kutokea,nasema tena tena kwa kizungu "Anything can happen to them at any time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…