Mi nafikiri badala ya kuwaponda na kuwakatisha tamaa wasanii wetu, ingekuwa heri zaidi kama tungewashauri kwa kuwaonyesha wapi wamekosea na namna ya kuboresha hizo kazi zao waweze kupata chochote kitu, kuhudumia familia zao na at the same time kutuburudisha kwa vipaji vyao! Ni mtazamo tu .....