Acha ujinga, mungu hawezi kukupa majumba, magari na mashamba. Fanya kazi jitume tafuta mbinu tofauti za kuingiza hela. Hayo mambo ya kusema mungu kampa ni ufala na akili za kimasikini
Being of your paganism does not make God unreal.Ndio maana yake,kuna mjomba mmoja nae siku hiyo ananiambia hivyo hivyo wewe tumekaa wote kijiweni hapa mwenzetu mungu kakupa bahati sisi tuko hapa hapa. Nikamuona akili zake mbovu tu. Yaani hakuniona ninavyochakarika? We ukae tu unakula fegi kisa unaamini mungu? Akili za kifala hizo
Being of your paganism does not make God unreal.
Respect believers of God as you want to be respected believer of paganism you moronic.