Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

Acha ujinga, mungu hawezi kukupa majumba, magari na mashamba. Fanya kazi jitume tafuta mbinu tofauti za kuingiza hela. Hayo mambo ya kusema mungu kampa ni ufala na akili za kimasikini

akili za watu wa pwani, nikirudi kwenye uzi wa mwanzo masanja ana kauli nyingi za majivuno, kuna watu wengi mabilionea lakini wapo humble tu, aache majivuno
 
Huyu ni comedian jamani,usimchukulie serious
 
mwachie masanja,bado yupo safi kiburudani na kiuchumi,
 
Ndio maana yake,kuna mjomba mmoja nae siku hiyo ananiambia hivyo hivyo wewe tumekaa wote kijiweni hapa mwenzetu mungu kakupa bahati sisi tuko hapa hapa. Nikamuona akili zake mbovu tu. Yaani hakuniona ninavyochakarika? We ukae tu unakula fegi kisa unaamini mungu? Akili za kifala hizo
Being of your paganism does not make God unreal.
Respect believers of God as you want to be respected believer of paganism you moronic.
 
Being of your paganism does not make God unreal.
Respect believers of God as you want to be respected believer of paganism you moronic.

Talk about respect and you Call me moron. Anyway, sina tatizo lolote na imani za mtu yoyote lakini kwa mtazamo wangu nafikiri watu wanapenda kutaja miungu yao kwenye mijadala akitokea mtu kwenye msimamo tofauti na wao inakuwa kama hivi. Back to the topic ni ufala kufikiria mungu atakupa magari na majumba ninachojua mimi bila kufanyakazi utaishia kuwa ombaomba
 
huyu jamaa ana mashauzi sikuhizi hapana tokea..

anajiona yeye ndio yeye na yupo juu ya kila binadamu
 
Back
Top Bottom