Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

Yaani kazi aweze Kitenge Masanja imshinde? wapayukaji Kitenge na Zembwela wana talent gani ya kumzidi Masanja?
Kitenge ni brand kubwa kwenye hizo ishu za uvhambuzi wa magazeti.

Masanja hawezi shindwa anachotakiwa ni kutulia na kufanya bila panic, kwa sasa anatumia nguvu nyingi bila sababu yoyote ya msingi.
 
Ushauri unaostahili kulipiwa huu
 
Wewe na yeye wote mamoja...uchawa unawatesa hakuna kurelax
 
Hilo.dela alilovaa Masanja si linavaliwa na wanawake kulikoni kavaa yeye mwanaume?
Masanja siku hizi kageuka mvaa Mandela ya wanawake?
 
Kitenge ni brand kubwa kwenye hizo ishu za uvhambuzi wa magazeti.

Masanja hawezi shindwa anachotakiwa ni kutulia na kufanya bila panic, kwa sasa anatumia nguvu nyingi bila sababu yoyote ya msingi.
Kitenge ni mpiga kelele. Ni mtu asiyejielewa ndiye anaweza kuona anajua kazi yake vilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…