Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

Yaani kazi aweze Kitenge Masanja imshinde? wapayukaji Kitenge na Zembwela wana talent gani ya kumzidi Masanja?
Kitenge ni brand kubwa kwenye hizo ishu za uvhambuzi wa magazeti.

Masanja hawezi shindwa anachotakiwa ni kutulia na kufanya bila panic, kwa sasa anatumia nguvu nyingi bila sababu yoyote ya msingi.
 
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.

Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.

Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.

Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.

Ushauri unaostahili kulipiwa huu
 
Wewe na yeye wote mamoja...uchawa unawatesa hakuna kurelax
 
Hilo.dela alilovaa Masanja si linavaliwa na wanawake kulikoni kavaa yeye mwanaume?
Masanja siku hizi kageuka mvaa Mandela ya wanawake?
 
Kitenge ni brand kubwa kwenye hizo ishu za uvhambuzi wa magazeti.

Masanja hawezi shindwa anachotakiwa ni kutulia na kufanya bila panic, kwa sasa anatumia nguvu nyingi bila sababu yoyote ya msingi.
Kitenge ni mpiga kelele. Ni mtu asiyejielewa ndiye anaweza kuona anajua kazi yake vilivyo.
 
Back
Top Bottom