True apige kanisani,apige kwenye comedy apige na uKuu wa wilaya,wampe ubunge kabisa.Hiyo ndiyo hazina ya CCM...
Mwakani atapewa ukuu WA wilaya kama kawaida
Ndio wapiga debe wa CCM hao. Hata mwenda kuzimu alipo zuia safari za nje walimpigia makofi na kumpongeza. Mama kawa Vasco da Gama wana msifu. Ccm hawajulikani kama ni popo au ndege!!Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?.
Hii dharau kwa umma wa watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Wajinga ndio waliwao.Huyo ndo mchungaji eti, why lakini? Kwann watu wanaichukulia kazi ya uchungaji poa namna hii?
Na tena ajabu unakuta mtu anawafuasi lukuki kanisani, hivi huwa anawapumbuza na nini!!
Achaneni na hawa watu, nendeni kwa watu wanaomuabudu Mungu katika kweli yote!!
Tena hana adabu kweli kweli!hana adabu kabisa
Masanja ni mchungaji kama Msigwa!Mbele ya pesa na umaarufu anaweza hata kuvua nguo hadharani.