nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Mchungaji uchwaraMtu asiye na elimu ni wakupuuza kama Dr Musukuma.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji uchwaraMtu asiye na elimu ni wakupuuza kama Dr Musukuma.
Usimfananishe Msigwa na vitu vya ajabu tafadhali.Masanja ni mchungaji kama Msigwa!
How? Nimeona mpk wenye nchi wamecheka. Maana yake wamefurahia hiki kijembe kwa wazalendo......we must have limitations with these dudez..
Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?.
Hii dharau kwa umma wa watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Kwahyo PhD ya Musukuma na PhD ya padri Bagonza nisawa kabisa, kweli Lumumba inawaharibuMasanja ni mchungaji kama Msigwa!
How? Nimeona mpk wenye nchi wamecheka. Maana yake wamefurahia hiki kijembe kwa wazalendo.
Muwe mnaangalia na watu wa kuwajadili hapa jf sasa huo ndio wakujadiliwa hapa kweli?!
Ingekuwa enzi za dikteta angeshamtangazia ukuu wa wilaya pale pale jukwaan baada tu ya kutoa hilo tusi. Kwa ccm usishangae kesho ukasikia kateuliwa kuwa DED akawasimamie wakuu wa idaraHiyo ndiyo hazina ya CCM...
Mwakani atapewa ukuu WA wilaya kama kawaida
Aiseee tunakosa sana torelance.Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?.
Hii dharau kwa umma wa watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Kwani wewe Una Uhusiano nae wowote Mpaka uhisi anakuvua Nguo Mpaka kuonekana taahiraNi sawa; Ila anatuvua Nguo wote tunaonekana Hatuna akili.......
Hii dunia ione hivihivi....imejaa watu wajinga wajinga wa kutosha...na hata sasa hivi kuna wajinga wajinga wengi tu wanazaliwa...Huyo ndo mchungaji eti, why lakini? Kwann watu wanaichukulia kazi ya uchungaji poa namna hii?
Na tena ajabu unakuta mtu anawafuasi lukuki kanisani, hivi huwa anawapumbuza na nini!!
Achaneni na hawa watu, nendeni kwa watu wanaomuabudu Mungu katika kweli yote!!
Kwakweli katia sana aibu na katudharirisha sana mbele ya wageni kwasababu lile ni internal affairs hakustahili kutukana mbele ya ugeni uleCcm mnatuzalilisha sana! Hivi wanaachaje kujua nini Masanja ataongea; wakati Ni:
- Mropokaji
- Hana busara
Hivi kweli serikal haina chujio la content Kwenye audience serious Kama ile?
Hii nchi imekuwa ya hovyo sana Kwa kweli, kweli mnatuzalilisha! Ila Mbowe sio gaid
Kwani uongo ? 🤣🤣Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?
Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Ninaona umeumia kweli lakini ujue wengine ni watumishi wa shetani utawatambua kwa maneno yao na matendo yao.Huyo ndo mchungaji eti, why lakini? Kwann watu wanaichukulia kazi ya uchungaji poa namna hii?
Na tena ajabu unakuta mtu anawafuasi lukuki kanisani, hivi huwa anawapumbuza na nini!!
Achaneni na hawa watu, nendeni kwa watu wanaomuabudu Mungu katika kweli yote!!