Jina lake kamili ni Emanuely Mgaya ,anatokea kijiji cha AMANI wilayani ludewa mkoani njombe,ameishi njombe sana na kijiji cha ilembula pia kwa sana,alichukuliwa na Yono (mbunge wa zamani wa jimbo la njombe magharibi) kuja dar es salaam kuja fanya kazi kwenye campuni yake ya udalali inaitwa yono auction mart co.ltd...amefanya sana kazi ya kukamata tax bubu hapa mjini mpaka siku moja alipodondosha gari waliyokamata (tax bubu-dereva alikimbia akaendesha masanja kupeleka yard) ikabidi akimbie mji kidogo kwa kuogopa kuwekwa ndani(vyovyote utakavyoelewa kama ni kinyumba au police)..then akaja ibukia kwa EATV na commedy..baada ya hapo ndio akaanza kuutafuta utajiri..ambao ni nyumba ina upstairs..V8..Mashamba ya mpunga pale ubaruku-mbeya, pia jamaa siku hizi ni mpaka mafuta hivyo anaingiza mkwanja mrefu kupitia dini..