Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah huyu mdau lazima una beef naye.so what?
Naomba kumfahamu huyu jamaa japo kwa uchache tuu
Relationship status yake?
Investment zake!
na yule jamaa mwingine aliekua nae ze comed alie kuwa mgonjwa saaana kipindi flani hiv
Mi namfaham kwa uchache;
1. Commedian maarufu
2. Anafanya muziki pia hasa wa dini
3. Anamiliki ghorofa
4. Anamiliki mashamba/majaruba ya mpunga huko Mbeya
5. Nathikia thikuizi ni Pasta,anaombea watu wenye mapepo,mapepo yanasepa doh!
Naomba kumfahamu huyu jamaa japo kwa uchache tuu
Relationship status yake?
Investment zake!
na yule jamaa mwingine aliekua nae ze comed alie kuwa mgonjwa saaana kipindi flani hiv
Yakwangu hayata saidia ukiyajuaaa
Jina lake kamili ni Emanuely Mgaya ,anatokea kijiji cha AMANI wilayani ludewa mkoani njombe,ameishi njombe sana na kijiji cha ilembula pia kwa sana,alichukuliwa na Yono (mbunge wa zamani wa jimbo la njombe magharibi) kuja dar es salaam kuja fanya kazi kwenye campuni yake ya udalali inaitwa yono auction mart co.ltd...amefanya sana kazi ya kukamata tax bubu hapa mjini mpaka siku moja alipodondosha gari waliyokamata (tax bubu-dereva alikimbia akaendesha masanja kupeleka yard) ikabidi akimbie mji kidogo kwa kuogopa kuwekwa ndani(vyovyote utakavyoelewa kama ni kinyumba au police)..then akaja ibukia kwa EATV na commedy..baada ya hapo ndio akaanza kuutafuta utajiri..ambao ni nyumba ina upstairs..V8..Mashamba ya mpunga pale ubaruku-mbeya, pia jamaa siku hizi ni mpaka mafuta hivyo anaingiza mkwanja mrefu kupitia dini..
Ya masanja hayakusaidii wala sio Tija kuliziaYakwangu hayata saidia ukiyajuaaa