Masanja mkandamizaji

Masanja mkandamizaji

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
19,955
Reaction score
45,207
Naomba kumfahamu huyu jamaa japo kwa uchache tuu
Relationship status yake?
Investment zake!
na yule jamaa mwingine aliekua nae ze comed alie kuwa mgonjwa saaana kipindi flani hiv
 
Mi namfaham kwa uchache;

1. Commedian maarufu
2. Anafanya muziki pia hasa wa dini
3. Anamiliki ghorofa
4. Anamiliki mashamba/majaruba ya mpunga huko Mbeya
5. Nathikia thikuizi ni Pasta,anaombea watu wenye mapepo,mapepo yanasepa doh!
 
Fuatilia threads za watu humu ametajwa sana
 
Mi namfaham kwa uchache;

1. Commedian maarufu
2. Anafanya muziki pia hasa wa dini
3. Anamiliki ghorofa
4. Anamiliki mashamba/majaruba ya mpunga huko Mbeya
5. Nathikia thikuizi ni Pasta,anaombea watu wenye mapepo,mapepo yanasepa doh!

Asantee mkuu
 
Fanya mambo yako acha kufatilia maisha ya watu,sasa hapo ukijua ana nini na nini itakusaidia nini?
 
Naomba kumfahamu huyu jamaa japo kwa uchache tuu
Relationship status yake?
Investment zake!
na yule jamaa mwingine aliekua nae ze comed alie kuwa mgonjwa saaana kipindi flani hiv

Kwanini unataka kuwafahamu mbona hujatufahamisha hata yote kwa upande wako.weka yakwako hapa
 
Jina lake kamili ni Emanuely Mgaya ,anatokea kijiji cha AMANI wilayani ludewa mkoani njombe,ameishi njombe sana na kijiji cha ilembula pia kwa sana,alichukuliwa na Yono (mbunge wa zamani wa jimbo la njombe magharibi) kuja dar es salaam kuja fanya kazi kwenye campuni yake ya udalali inaitwa yono auction mart co.ltd...amefanya sana kazi ya kukamata tax bubu hapa mjini mpaka siku moja alipodondosha gari waliyokamata (tax bubu-dereva alikimbia akaendesha masanja kupeleka yard) ikabidi akimbie mji kidogo kwa kuogopa kuwekwa ndani(vyovyote utakavyoelewa kama ni kinyumba au police)..then akaja ibukia kwa EATV na commedy..baada ya hapo ndio akaanza kuutafuta utajiri..ambao ni nyumba ina upstairs..V8..Mashamba ya mpunga pale ubaruku-mbeya, pia jamaa siku hizi ni mpaka mafuta hivyo anaingiza mkwanja mrefu kupitia dini..
 
Asante saana mkuu mpululu
 
hahaa Masanja unataka kuelewa twakufahamu kiasi gani eenh.
Usijali watakueleza tuu hapa ni JF banah
 
Ya masanja hayakusaidii wala sio Tija kulizia
Eti habari za mahusiano yake nenda TBC utampata

We kama huna majibu ni vema ukaee pembeni...

Wenye majibu wameshayatoa
 
Back
Top Bottom