niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Wasomi wanasema masanja ni jipu. Kulima hawataki, wanataka masanja alime atunze mazao kwenye ghara, msomi aende kuomba kazi ya storekeeper ili avae tai.Acheni mkulima masanja atumie jasho lake, maana nasikia jamaa anachakalika na kilimo si mchezo.
Bila kujiunga team lumumba, utaisikia kwa akina masanja tu.My dream car 😛😛
Gari niipendayo kuliko yote ulimwenguni.
SASA KAMA UMESHAJUA KUWA HILO NDILO SULUHISHO LA NJIA YA MAFANIKIO KWANINI NA WEWE USIFANYE AU HUTAKI MAFANIKIO.Masanja ndio anayepondea wengine. Nani alimuuliza atutajie kua anaweza kununua Gari. Haituhusu.
Wasanii wa bongo njaa tu. Wengi walijipendekeza kwenye mfumo. Ndio maana wameinuka.
Ukipewa uzuge nayo kitaa walau kwa siku mbili mbona utafuta kauli, hahaha.Punda tu huyo asitulaghahi hapa
I can assure you...his money's aren't cleanKazi za wabongo bana, wakati mtu anahangaika wao wapo vijiweni, akishafanikiwa wanaanza ooh freemason, mara unga. Fanyeni kazi wandugu,
Kwenye huo uzi wako mtoe gwajima hana nafasi apoMjinga sana, maneno yanafaa kutamkwa na Dr. Mengi, Bkharessa na & Gwajima, profesa tibaijuka(BIBI wa pesa ya mboga), chenge,(babu wa vijisenti) na mzee wa msoga na watu wa kaliba hiyo....
Sio yeye. Masanja hana hela ya kununua BMW kama anavyonunua baskeli.
Gari zina charge nyingi sana. Baskeli na gari tofauti sana katika ununuzi, kuanzia kutoa hela benki nk na ikipata ajali anaweza kukesha miaka kuikarabati.
. You never know..Hope alikua anachekesha watu, manake ndo kazi ya ze komedian kama yeye.
Maskini akipata mata** ulia mbwata.
Mil.5 kwa mwaka,sifa za kijingaKwani kutumia Jina lako kwenye kibao cha namba ni gharama sana? nitoeni ushamba hapo
umesahau maskini akipata???Mjinga sana, maneno yanafaa kutamkwa na Dr. Mengi, Bkharessa na & Gwajima, profesa tibaijuka(BIBI wa pesa ya mboga), chenge,(babu wa vijisenti) na mzee wa msoga na watu wa kaliba hiyo....
Sio yeye. Masanja hana hela ya kununua BMW kama anavyonunua baskeli.
Gari zina charge nyingi sana. Baskeli na gari tofauti sana katika ununuzi, kuanzia kutoa hela benki nk na ikipata ajali anaweza kukesha miaka kuikarabati.
. You never know..Hope alikua anachekesha watu, manake ndo kazi ya ze komedian kama yeye.
Maskini akipata mata** ulia mbwata.