Masanja: Nimevuna mpunga ekari 15 Mbarali Estate - Mbeya

Masanja: Nimevuna mpunga ekari 15 Mbarali Estate - Mbeya

Unless alikua analima for funny kama ni kibiashara naamini kabisa Masanja ana mtaji wa kutosha kabisa kulima 100+ acres by the way sijambeza

mpunga sio mahindi we mburula,unajua shughuli ya mpunga au unaongea tu.
 
Hivi JOTI dini yake ni ipi maana anakoelekea siko, mimi binafsi sitamani hata kumwangalia kwenye kipindi chao, hasa anapoanza mambo yake ya makavu laivu
nami nakereka sana ,sijui watoto wa kiume anawafundisha nini!sanaa zingine ni ujinga tu
 
Hongera kwa kuvuna tugawie na siye kidogo ubweche

Wengine mnapenda sana vya kupewa
Ndo maana miili yenu inaishiwa kuchezewa
Mnamegwa mnaachwa Na hata mkiolewa....

R.I.P Ngwair
 
Kwa level yake alitakiwa kulima 100 + acres

vipi mkuu, umekua mke wake hadi ujue alitakiwa alime ngapi?? komaa kivyako ulime hata kama ni robo eka kuliko kujaji wenzako bila basis yoyote... Kila mtu ana priority zake kwenye maisha na hujui si ajabu aliamua kujaribu tu kwanza

Tuache kuwekeana negativity when it comes to maendeleo, tutaishia kwenye keyboards wakati kitaa kinatulamba za uso
 
Masanja mjanja sana kasoma mchezo kaona biashara ya Injili inalipa, katumia umaarufu wake wa zamani kama mchekeshaji, sasa anataka kuwa mchungaji avune pesa za wadanganyika..

Soon tutasikia watu wakikimbizana kwenda kwenye kanisa la Masanja..

wakimbizane mara mbili,Hapo kwenye moja ya mikutano akitoa huduma!!!!!!!!!
537095_365457230219714_21081507_n.jpg
 
vipi mkuu, umekua mke wake hadi ujue alitakiwa alime ngapi?? komaa kivyako ulime hata kama ni robo eka kuliko kujaji wenzako bila basis yoyote... Kila mtu ana priority zake kwenye maisha na hujui si ajabu aliamua kujaribu tu kwanza

Tuache kuwekeana negativity when it comes to maendeleo, tutaishia kwenye keyboards wakati kitaa kinatulamba za uso

Acha kukurupuka pimbi wee fuatilia comments za mwanzo uone negativity iko wapi wakati na muencourage afanye zaidi? Hamna mahali nilipomkejeli kwanza nimempongeza kwa kulima hizo 15 my point is naamini anaweza fanya zaidi ya hizo 15 na kufanya zaidi ya 100 sasa hapo negativity iko wapi? Hizi Zero za siku hizi bwana kazi kweli kweli
 
Kijana masanja mkandamizaji as known as Pastor to be akijituma uko ubaruku, inasemekana anazalisha 200 bags per year kwenye hii investment tu, sa soon tu huyu si mwingine kabsa, huu ni model kwa vijana wote wanaopenda mabadiliko so keep stepping forward man!!!
Halafu baadhi ya wapuuzi waje kumwita masonic!
Mwanaume anasifiwa kazi.
Bravo Masanja! MUNGU yu pamoja nawe
 
Back
Top Bottom