Masanja: Sikuwa na Uwezo wa Kununua hata Chipsi Kavu...

Masanja: Sikuwa na Uwezo wa Kununua hata Chipsi Kavu...

..ni stori nzuri.na stori kama hizi mara nyingi zinajirudia na zinafanana..hamna kigeni.
kikubwa ni kuwa MUNGU amembariki na anastahili kurudisha hizo fathila.
 
Besti punguza hasira bana! Hutaki hata risasi zikae ndani hata kidogo jamani? Kila wakati unawafyatulia hawa watu?

Valentine ndo nini?
mimi namuongelea kanumba we unakuja kuleta ujuaji nnya umeona nimeandika mtitu kafa?
muone, bongo muvi wewe......
 
Back
Top Bottom