Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
kwa Yesu ujanja kuokoka
ha ha ha
kuokoka ni ujanja au bahati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa Yesu ujanja kuokoka
ha ha ha
kuokoka ni ujanja au bahati?
niambie wewe Mtumish
Wasiwe wanashukuru baada ya watu kudanja tu.....
hivi hakuna staa Wa bongo aliyepitia maisha mazuri kidogo? wote poor childhood...
mbona siwezi kuomba miee?
kwani Dada kuna upendo wa nia mbaya?
Wasiwe wanashukuru baada ya watu kudanja tu.....
Kwani mtitu kafa??!!! Acha uchuro.
Hebu kwendraaaa na wewe usiniharibie usiku wangu
Hahahahaha..we kama jana valentine ulivurugwa na kishtobe wako usimalizie hasira zako kwangu
Valentine ndo nini?
mimi namuongelea kanumba we unakuja kuleta ujuaji nnya umeona nimeandika mtitu kafa?
muone, bongo muvi wewe......
Kwani mtitu kafa??!!! Acha uchuro.
Besti punguza hasira bana! Hutaki hata risasi zikae ndani hata kidogo jamani? Kila wakati unawafyatulia hawa watu?
Wala hata sina hasira mie ha ha ha
ila wadandiaji huwa wananichosha tu