Masanja: Sikuwa na Uwezo wa Kununua hata Chipsi Kavu...

..ni stori nzuri.na stori kama hizi mara nyingi zinajirudia na zinafanana..hamna kigeni.
kikubwa ni kuwa MUNGU amembariki na anastahili kurudisha hizo fathila.
 
hivi hakuna staa Wa bongo aliyepitia maisha mazuri kidogo? wote poor childhood...

It seems baada ya ustaa ndo life linaanza kuwanyookea....
sijui nami niingie kwenye bongo movie sijui bongo fleva
 
Besti punguza hasira bana! Hutaki hata risasi zikae ndani hata kidogo jamani? Kila wakati unawafyatulia hawa watu?

Valentine ndo nini?
mimi namuongelea kanumba we unakuja kuleta ujuaji nnya umeona nimeandika mtitu kafa?
muone, bongo muvi wewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…