Masanja Umechemsha bro!!

Mlisema Lissu chaguo la Mungu? Huyo mungu wenu muongo mbona chaguo lake limepigwa chini? Shetani Sasa ameshajulikana maana mlisema shetani hawezi kumshinda Mungu, Sasa chaguo la shetani chali.
 
Anamwamini Mungu kwa maneno yake au pamoja na matendo yake?
 
Alisikika mgombea mmoja kule Moshi kwenye kura za maoni CCM anawambia wajumbe kufunika mlima Kilimanjaro na pazia mwisho akawaomba wajumbe wacheke kwa pamoja hahahahaaaaaaaaaaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…