Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisema mbele ya wageni wakati Jiwe/Mh Lissu anaapishwa au wapi?Mbona nyinyi mlisema Lissu ni chaguo la Mungu kapigwa risasi 16 na hakufa, Mungu kamleta kuwa Rais wa Tanzania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!
Anamwamini Mungu kwa maneno yake au pamoja na matendo yake?masanja yupo sahihi, tena niongezee ndo mtu mwenye imani na Mungu kuliko wote Tanzania. Na hilo limedhilishwa kipindi kile cha Corona. Kumwamini Mungu ni kumtangaza Mungu mbele ya uma kuwa Mungu anaokoa tumwombeni. Ndo mtu pekee duniani aliyesema tusifunge makanisa tumwombe Mungu. Hivyo ni kweli Magufuli one hundred percent anamwamini Mungu
Ufipa.Walisema mbele ya wageni wakati Jiwe/Mh Lissu anaapishwa au wapi?
Siyo mnyakyusa, ni mpangwa wa Ludewa. Mbeya ana mashamba tu ya mpunga.We nae hebu ficha ujinga wako.. masanja Mnyakyusa wa Ubaruku mbeya ile kisukuma anaigiza tu.
UnakeraMbona nyinyi mlisema Lissu ni chaguo la Mungu kapigwa risasi 16 na hakufa, Mungu kamleta kuwa Rais wa Tanzania?
Walasio msukuma huyu, nadhani ni mnyalu mana anaitwa Emmanuel MgayaMsukuma mwenzake lazima wasifiane.
Achana nao
Hata ninyi mnakera ila hamnaga uwezo wakujibu hoja zinazowakera zaidi ya matusi.UNAKERA
Master's ya Theology anakuwa nayo mtu mweupe kichwani kama huyu. Kaipatia chuo gani?Masanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!
Haina madhara kwani ni ishu za siasa za ndani na siyo mambo ya kidiplomasiaUfipa.