Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Masanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!
Kuna Elimu na kuelimika elewa masanja anatafuta sifa (tonge) #KUJIPENDEKEZAMasanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!
Uzuri kwenye hii dunia ya watanzania hata uwe against vipi huwezi kosa mataira wenzako wa kukuunga mkono. [emoji849]Masanja yupo sahihi, tena niongezee ndo mtu mwenye Imani na Mungu kuliko wote Tanzania. Na hilo limedhilishwa kipindi kile cha Corona. Kumwamini Mungu ni kumtangaza Mungu mbele ya Umma kuwa Mungu anaokoa tumwombeni. Ndo mtu pekee duniani aliyesema tusifunge makanisa tumwombe Mungu. Hivyo ni kweli Magufuli one hundred percent anamwamini Mungu
We kadhi wa wapi au ndo wa threesomeMlisema Lissu chaguo la Mungu? Huyo mungu wenu muongo mbona chaguo lake limepigwa chini? Shetani Sasa ameshajulikana maana mlisema shetani hawezi kumshinda Mungu, Sasa chaguo la shetani chali.
We mama wa lisu upo?Masanja aliingia lini mjini?
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Kama siyo wewe asingefika hukoAtakuwa kaishiwa nauli hata ya kurudi ubelgiji.
Wewe ni TAHIRA ELIMU YAKO TAFADHALIndio maana mmeshindwa uchaguzi. Mnahubiri haki za binadamu Tanzania badala ya kuhubiri haki za elimu, afya, maji na Barbara.
Degree yake itakuwa ya kuiba mitihani na kununua vyeti kwani upeo wake bado ni zeroMasanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!
Tayari masanja yupo kwenye list ya watu watasomewa Albadiri tokea pemba na Zanzibar kwa kusujudia unyanyasaji uonevu uovu unyama wa CCMKwa style aliyotumia kusherehesha...automatically alikuwa anajipepelea uteuzi.
Masanja kaharibu kama alivyovurunda Adamu Mchomvu kwenye uzinduzi wa kampeni.
Kwan mkataba wa haki za binadamu wa 2017 ulisainiwa na lissu??? Mkataba huo Alie Usain ni huyo huyo na ndio unaohusisha ushoga kwahyo alikubaliana nao na ndio maana makonda alipo wasumbua mashoga walikanusha hadharani hawausiki na. Kangi lugola alisema mashoga wapo huru na hawana shda yotote. Au uelewi hata Dunia inaendaje? NYAU WEWEHivi Mungu anaweza kumsikiliza mtu ambaye anaunga mkono ushoga? Huyu huyu Mungu aliye unguza sodoma na gomora
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniMbona nyinyi mlisema Lissu ni chaguo la Mungu kapigwa risasi 16 na hakufa, Mungu kamleta kuwa Rais wa Tanzania?
mkuu acha kusingizia watu usio wajua wala kuwafahamu. na pia acha kutuhumu watu. Kama siasa huziwezi acha. unafanya siasa za kipindi cha ukoloni lazima uumie.Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Kama siyo wewe asingefika huko
Wewe ni mpuuzi!Huwezi kuona kwasababu umegubikwa na upuuzi!Sijaona Kosa lolote Masanja kusema hivyo / hayo sana sana naona tu 'Chuki' zako kwa Mshindi Rais Magufuli na chama chake bora hadi Mbinguni.
Watanzania walipiga nyungu kwa pamoja kwa bidii kubwa wakala malimau tangawizi kwa pamoja kwa bidii kubwa wakatumia vitamini C kwa pamoja ndiyo maana maambukizi ya corona hayakusambaa kutokana na hilo zoezi kufanyika kwa bidii kubwa pasipo kuchoka, siyo magufuli wala nani kaizuia corona acheni kumpa sifa si zake, cha kushukuru ni mwitikio wa watu kutumia hizo kinga bila kuchoka mpaka sasa wengi hunywa tangawizi.Masanja yupo sahihi, tena niongezee ndo mtu mwenye Imani na Mungu kuliko wote Tanzania. Na hilo limedhilishwa kipindi kile cha Corona. Kumwamini Mungu ni kumtangaza Mungu mbele ya Umma kuwa Mungu anaokoa tumwombeni. Ndo mtu pekee duniani aliyesema tusifunge makanisa tumwombe Mungu. Hivyo ni kweli Magufuli one hundred percent anamwamini Mungu