Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sidhani. Weka. Uthibitisho hapa. Lakini pia sishangai sana maana kujipendekeza ni talent nayo. Anaweza kuwa na PHD kabisa ila akakosa akili. Kila jambo lina kipimo chake. Mabeberu wanasema too much is harmful.
Masanja ana degree ya sanaa na Masters ya Teolojia bwashee!