Masanja Umechemsha bro!!

Masanja Umechemsha bro!!

mkuu acha kusingizia watu usio wajua wala kuwafahamu. na pia acha kutuhumu watu. Kama siasa huziwezi acha. unafanya siasa za kipindi cha ukoloni lazima uumie.
Bila wewe angefikaje Belgium? Jibu hilo swali kwanza acha Siasa acha kujimwambafy
 
Anajipendekeza kwa mshamba mwenzake.
Kiuhalisia masanja huwa ni mshamba fulani na pengine hakuwa akijua mapungufu yake na hakuwahi kukosolewa lakini kupitia jukwaa hili analo la kujifunza vizuri
 
TUNAZIDI KUONGEZA LIST YA TUNAOWASOMEA ALBADR WALA MSIWE NA HOFU
Tayari pemba wameingiza jina la mgaya masanja kwenye list ya miccm itakayosomewa Albadiri kubwa kupinga manyanyaso ya CCM
 
Tayari pemba wameingiza jina la mgaya masanja kwenye list ya miccm itakayosomewa Albadiri kubwa kupinga manyanyaso ya CCM
Mkuu Wala usjari ni swala la muda TU watasema tu walipo ficha bangi
 
Hapo ndio umemsifia au umefanya hiyo elimu idharaulike tu?
Masanja ni darasa la nne kisha akaenda kusoma kakingereza British council tu, apate kuongea lugha ya Mkoloni kuombea viza tu hana Taaluma kichwani ni mweupe mno
 
Mchungaji muoga sana anahide comments na kupiga watu tofali akiambiwa ukweli..
 
Masanja Mkandamizaji ndo msanii aliyefanya kampeni kubwa , hasa akijikita kwenye kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya tano kupitia sanaa. Anakipenda Sana chama na nchi.
Kinamsaidia utakatishaji WA fedha
 
Back
Top Bottom