Masanja Umechemsha bro!!

Masanja Umechemsha bro!!

Hata kwa kusema tu jpm ndiye rais pekee ambaye hajaemda ulaya miaka 5 alikosea, aliitoa hii kauli ktk hali ya majivuno...unapoongea mambo kama haya na una wawakilishi wa marais kutoka ulaya ni upuuzi

wanyakyusa na wasukuma hawachekani kwa ushamba..
Kwani ulaya kuna nini, na usipokwenda unapungukiwa nini, na huyo mwakilishi wa ulaya akisikia yeye inamsaidia nini
 
Kwani ulaya kuna nini, na usipokwenda unapungukiwa nini, na huyo mwakilishi wa ulaya akisikia yeye inamsaidia nini
Ulaya vyombo vya habari husema mapungufu ya mtu kwa uwazi ana usipokwenda ulaya utapungukiwa kutojua madhaifu yako binafsi kwani Afrika huogopa kukwambia ukweli kuepuka kubambikiwa kesi kesi
 
Mmechanganyikiwa baada ya sunduku la kura kuwaumbua sasa mmeanza kutafutiza vikesi na kwatu msiowajua ili mpate vipesa vya kusukuma chama
Acha kujimwambafy watu usiowajua ni kujimwambafy huko kusiko na tija yeyote, sanduku lipi la kura? Uchaguzi upi? Maana Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Ulaya vyombo vya habari husema mapungufu ya mtu kwa uwazi ana usipokwenda ulaya utapungukiwa kutojua madhaifu yako binafsi kwani Afrika huogopa kukwambia ukweli kuepuka kubambikiwa kesi kesi
Wee jamaa unachekesha kweli, kwa hivyo ulaya ndo viongozi wa watu wote hapa duniani. Sasa tunataka wao ndo waje huku kwetu.
 
Tulishasema "wasanii wengi wa Tanzania wanatumika vibaya na wengi wao hawajitambui hasa wale maarufu!!!"
 
Alafu umejificha hauna hata amani mkuu, hii nchi ni yako kuwa na amani
Tanzania hakuna Amani kuna uvumilivu tu, Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu tu hakuna Amani, hamuwezi kuwa mnawabambikia kesi kesi watu uonevu usiokwisha alafu mseme kuna Amani.
 
Tanzania sasa ni Nchi ya visasi kesi kesi na sera kuu za CCM ni kuwabambikia kesi kesi uonevu na ukiukaji haki za binadamu kama ilivyofanyika Zanzibar na Pemba.
 
Back
Top Bottom