Civilian One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 246
- 189
Huyo wa left kalegea aiseeNimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?
Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.
View attachment 1260760
Umenikumbusha mambo mengi kumtaja huyo Bonke.
Asije akawa Kama wakina Reginard Bonke
Umenikumbusha mambo mengi kumtaja huyo Bonke.
Bonke alifanya nn wakuuu¿¿¿
Huyo wa kulia umemwangalia vizuri nae mkuu? Hamna utofauti hao ni kama Abdalah na Dullah tu.Huyo wa left kalegea aisee
Hii ndio shida ya kuwa masikini kila mtu unamuona freemason na muuza unga
Kuuza mchele na uchungaji ambao hana kanisa ndio aweze kununua X6?? Safari za Nje ambazo anaenda kusali kila siku?
Hata huo mchele sijui huwa anamuuzia nani
Mboni nasikiaga eti anauza unga (nahisi unga wa muhogo)
Maana hata mimi napenda sana ugali wa Muhogo
Hii ndio shida ya kuwa masikini kila mtu unamuona freemason na muuza unga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi alishawahi kuniletea kilo 50 za mchele anazouza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Kumbe hata huko Marekani kuna miti miti kama hapa kwetu Upareni
Wapi nimesema anauza unga au freemason?Hii ndio shida ya kuwa masikini kila mtu unamuona freemason na muuza unga
Sasa ndo umeongea nini? Asilimia kubwa ya unga wote duniani unauzwa marekani toka nchi za nje, ndo umakini upi? Kwanza hakuna mashine ya kuona kama umebeba kete za unga tumboni. Alafu ukiwa na barua ya mualiko wa kanisa ni rahisi kupata viza so ni rahisi kuwa na network ya wauza unga wa kanisa.Angekuwa anauza UNGA saa hizi yuko LUPANGO kwa jinsi Serikali ya Marekani ilivyokuwa makini!!
Masikini siku zote huamini kua aliyefanikiwa basi mafanikio yake ameyapata kwa njia za haramu!! nadhani hua ni njia za kujifariji tu kwa kufeli maisha.Hii ndio shida ya kuwa masikini kila mtu unamuona freemason na muuza unga
Wakina Reinhard Bonke wakoje?Asije akawa Kama wakina Reginard Bonke
kwahiyo unamtilia mashaka sio?Kuuza mchele na uchungaji ambao hana kanisa ndio aweze kununua X6?? Safari za Nje ambazo anaenda kusali kila siku?
Basi sawa, ila siaminiMimi alishawahi kuniletea kilo 50 za mchele anazouza
Wewe ni juha kabisa. Mie nina mashamba kule anakolima Masanja. Jamaa analima kilimo kikubwa na cha kisasa na anaingiza hela haswaa. Hiyo X6 unayomwona nayo ni kitu kidogo sana kulinganisha na mashine alizowekeza shambaniKuuza mchele na uchungaji ambao hana kanisa ndio aweze kununua X6?? Safari za Nje ambazo anaenda kusali kila siku?