Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

Jamaa anaushamba wa kuamini kuwa marekani ni everything basi wabena wenzake wanamuona yuko juu,unless awe anaingiza hela huko
 
Kuuza mchele na uchungaji ambao hana kanisa ndio aweze kununua X6?? Safari za Nje ambazo anaenda kusali kila siku?
Hata huo mchele sijui huwa anamuuzia nani
Mboni nasikiaga eti anauza unga (nahisi unga wa muhogo)
Maana hata mimi napenda sana ugali wa Muhogo
Hii ndio shida ya kuwa masikini kila mtu unamuona freemason na muuza unga
Mimi alishawahi kuniletea kilo 50 za mchele anazouza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angekuwa anauza UNGA saa hizi yuko LUPANGO kwa jinsi Serikali ya Marekani ilivyokuwa makini!!
Sasa ndo umeongea nini? Asilimia kubwa ya unga wote duniani unauzwa marekani toka nchi za nje, ndo umakini upi? Kwanza hakuna mashine ya kuona kama umebeba kete za unga tumboni. Alafu ukiwa na barua ya mualiko wa kanisa ni rahisi kupata viza so ni rahisi kuwa na network ya wauza unga wa kanisa.
Alafu marekani hawana sheria kali za madawa ya kulevya kama china na nchi zingine.
Mimi nilishawahi kupita na vitu visivyoruhusiwa na pesa zilizozidi idadi inayoruhusiwa bila kusachiwa chochote kwenda na kurudi, sometimes ni uoga wako tu kuna nyomi kubwa sana kwenye mageti ya kupakia ndege kuweza kusachi kila mtu kila sehemu ni impossible . Alafu masanja ni mcheshi kwaiyo inamsaidia unajua wale askari ni watu. Labda atokee mtu anayejua michongo yako akusnitch.
Ukiwa na usiri wa hali ya juu kwenye network yako yaani unatusua tu kiroho safi. Tatizo jamaa ananunua magari sana na showoffs vinginevyo tusinge hata muhisi kuhusu kubeba unga.
 
Wamepiga pozi kama mashoga. Hawa watakuwa ni mashoga. Masanja kila mwezi yupo USA. Atakuwa anaenda kufanya ushoga wake huko ili watu wasijue.
 
Hii ndio shida ya kuwa masikini kila mtu unamuona freemason na muuza unga
Masikini siku zote huamini kua aliyefanikiwa basi mafanikio yake ameyapata kwa njia za haramu!! nadhani hua ni njia za kujifariji tu kwa kufeli maisha.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Masanja namfananisha na watu wafuatao

Masanja na Kitenge yule wa wasafi Redio wote wanatumika.


Kqa uelewa wangu ni watu qa vitengo.


Hawana msuli huo wa kuzurura duniani kqa pesa zao.
 
Sema huyo jamaa wa pembeni yake kulia kwa Masanja ndio sijamuelewa kabisa... Kama wale wale vile
 
Kuuza mchele na uchungaji ambao hana kanisa ndio aweze kununua X6?? Safari za Nje ambazo anaenda kusali kila siku?
Wewe ni juha kabisa. Mie nina mashamba kule anakolima Masanja. Jamaa analima kilimo kikubwa na cha kisasa na anaingiza hela haswaa. Hiyo X6 unayomwona nayo ni kitu kidogo sana kulinganisha na mashine alizowekeza shambani

Kaeni tu na roho mbaya zenu. Mwenzenu anafanya kazi anapata kilicho halali nyie mnambeza. Huu ni umasikini wa fikra wa hali ya juu sana
 
"E="Allency, post: 33449089, member: 36358"]
Hata huo mchele sijui huwa anamuuzia nani
[/QUOTE]"Kweli tunaishi na majini humu humu mitaani mtu akifanikiwa lazima watu wainue vikwazo hata kama hawajui lolote kuhusu wanalosema
 
Back
Top Bottom