Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?

Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.

Masanja.JPG
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
 
wakuu.
ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?
vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.

Subiri ipo siku watanunua kesi
 
Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Mmmh ni mimi tu ambae sijaelewa au na nyie wenzangu,,,.
 
Sasa asipofanya hivyo atanunua lini li BMW lingine na kumalizia nyumba yake ya Mwanza. Acha masanja apige kazi bana, akitoka hapo anaenda kugombea ubunge 2020 kwenye jimbo la Filikunjombe RIP. In short jamaa ni hustler na achagui pa kupita.
 
Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
Hahahahah ungekufa mbwa ww, siku ingine jiangushe fasta
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Mkuu umeandika nini hiki
 
Back
Top Bottom