Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Wahubiri wa kizaz kipya, full milegezo. Angesuka na yale mabutu yake
Wakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?

Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.

 
Mbaya zaid camera man hapepesuki ata kidg anachukua tu mapch na video
 
Back
Top Bottom