Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Tapeli sana huyo Masanja.. matapeli wa kutumia dini wote hufanya hivyo.. Hiyo ni kuandaa watu wachache kisha wanapewa maelekezo jinsi ya kufanya kuanguka kisha wanalipwa chao.. Hiyo yote ni kuvutia biashara ya dini anayofanya.. Hakuna cha Mungu wala nn hapo.. Ni utapeli 100% kwa 100%
duh! mbona sijaona utapeli hapo yaani nani katapeliwa sasa?
 
HAHAHAHAHA WAJINGA WANALIWA HADI NA MASANJA DAAA WATANZANIA NI SIKIO LA KUFA
 
b73312724f7faef6b623a00172ab74f1.jpg
 
Wachungaji wadogo kama yeye hupewa upako kwa njia ya impartation... Huwa wanawekewa mikono na wachungaji wakubwa kabla ya kufanya mahubiri baada ya muda upako humtoka mhusika.
 
Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
Mkuu umesababisha nichekee kwa sauti [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bwana Masanja Akiangusha Watanzania.
664cde5a9bff3be4a869f8842e51efc7.jpg

Acha kwanza nicheke....
Haaaa haaaa haaa haaa haaa

Mkuu, nguvu za Mungu zipo ila pia na waangusha watanzania wapo wengi tu.

Tatizo ni kuitambua nguvu halisi ya Mungu na ile ya kuangusha watanzania.
Hapo ndipo ilipo changa la macho
 
Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu seriously!??
 
Wakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?

Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.

The upcoming bushiri
 
Back
Top Bottom