agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Kati ya wadada waliosimama hapo kuna mwenye chura?Nani kakwambia kuwa maombi yaliwahi kumwangusha mtu mahali popote pale??Leo ndo unagundua kuwa ni usanii huwa unafanyika???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya wadada waliosimama hapo kuna mwenye chura?Nani kakwambia kuwa maombi yaliwahi kumwangusha mtu mahali popote pale??Leo ndo unagundua kuwa ni usanii huwa unafanyika???
Wakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?
Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.