Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww

Mkuu hivi nchi uliyopo kuna afadhali ya maisha kidogo tuhamie?
 
Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
Na mpaka leo bado una pepo mkorofi.
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Baada ya kusoma mara 20 hatimaye nimemuelewa....."Maana mimi nina amini pepo wa njaa hatoki kwa maombi kama alivyo pepo wa kiroho au wa ugonjwa.. piga neno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila kufanya kazi na kupata pesa ya kununua kitambaa na mashono hutopewa kamwe"
 
Cha ajabu sijawahi kuona camera man ameangushwa na haya maombi!!

Ina maana wapiga picha wote hawana mapepo? Na wale wanaowabeba walionguka nao huwa hawaanguki.
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Hiki ni Kiswahili cha Bukavu au Kivu ya Kaskazini....SIJAELEWA
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
we! umeandika vitu gani hivi!?
 
Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nakumbuka mwaka 2014 nilihudhuria msiba masanja Ndio alikuwa Mchungaji palee nilishangaa.

Mungu amuongozee tu asiwe wale wachungaji wasaka tonge
 
Wapagani na wenye roho za ibilsi utawajua tu kwa post & comments zao!!
 
Wewe ulishawahi kutafutwa ukajiangusha? Walikupa sh ngapi?/vinginevyo acha uzushi wa mambo usiyoyajua
Acha ubishi wewee, Kipo chuo cha huo usanii TANGA, iko hv

Mnapewa mafunzo ya style ya kujfanya kilema, mkishaiva mnapewa fungu na kuelekezwa mkoa ambao muhusika atakuja kupiga shoo, mnatangulia huko na kutafuta gest za bei rahis huku mkisubir cku ya tukio.

Kabla ya tukio hutolewa matangazo kuwa watu wawalete ndugu zao ambao ni wagonjwa ama walemavu waombewe watapona.

Cku ya tukio wale wanafunzi watakuja kila mmoja kwa style yake aliyoimaster na watajitokeza wataombewa na kupona.

Wale walemavu wa ukweli ambao watu wanawafahamu huwa hawaponi kamwe et sababu Imani Yao ndogo.

Hao wanaopona ukichunguza hakuna hata mtu anayewafahamu, kwa kuwa c wakaz WA hayo Maemo.

Kwa hyo hcho ni kikos Kaz special kwaajili ya kutafuta rizk tu, maana km kweli wanaponya waende mahospitali watu wanateseka wengine hawana nauli ya kwenda india

Maana imeandikwa FUFUENI WAFU, PONYENI WAGONJWA, MMEPEWA BURE, TOENI BURE.

*wacha WAFU wawazike WAFU wenzao*
 
Mkuu ktk ukristo hasa haipo namna hiyo lakini hoja yako imeeleweka kuwa kuna usanii na mimi nakubali. Mssanja ni opportunist anaweza kucheza na akili zenu akatoka akawaacha nyinyi mko palepale na anaweza kujipendekeza vizuri tuu ili apate anachotaka. Mfano aliwakuta akina joti na mpoki wanamiaka ktk uchekeshaji lakini kwa mbinu zake za kikomandoo "Joni" akawakaribia wote kwa umaruufu na kipindi Fulani akawa anawepeleka kanisani jangwani timu nzima ya comed hapo akapata njia ya kumuingia mchungaji pale ambae akaanza kumtumia masanja kujaza watu ktk mikutano mitaani. Kumbe jamaa ashapiga mahesabu ya kujenga jina taratiibu akaanza kujiita pastor akatoa nyimbo za utumbo utumbo za injili. Kuna watu wengine wakanunua. Wakaanza Kuongoza ibada pale mito ya Baraka jangwani. Mara ghafla kaibuka anapesa ya kutosha , anamashamba makubwa ndo huyo sasa ni pasteri
 
MT. :24:4
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.

MT. :24:5
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

MT. :24:11
Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.

MT. :24:24
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

MT. :24:25
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
 
Wakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?

Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.

Wewe hujui kuwa huyo ni comedian/mchekeshaji/mwigizaji/msaniii?
 
Back
Top Bottom