inabidi tujiulize maswali huyo masanja kaanza lini kuangusha watu?Waache wafu wawazike wafu wenzao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwa wanatafutwa mapema.wanaandaliwa.
Akikuona unakuwa mgumu.anajua si MTU wake
Anakupiga mtama.
nimetoka kapa kabisaManda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
wakuu.
ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?
vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.
Mkuu ww sio mTz auManda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Mmmh ni mimi tu ambae sijaelewa au na nyie wenzangu,,,.Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Mwache akemee maovu yanayofanywa na Masanja mjomba.Kwanini usifate mambo yako mkuu?
πππUwa wanatafutwa mapema.wanaandaliwa.
Akikuona unakuwa mgumu.anajua si MTU wake
Anakupiga mtama.
Uwa wanatafutwa mapema.wanaandaliwa.
Akikuona unakuwa mgumu.anajua si MTU wake
Anakupiga mtama.
Hahahahah ungekufa mbwa ww, siku ingine jiangushe fastaKuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
Mkuu umeandika nini hikiManda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww