Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Ngumi ya chembe ya moyo
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
MJINGA.
Utakuta ww ni baba wa familia hafu unawafokea watoto zako kua hawana akili.. 😀😀😀
 
Wewe ulishawahi kutafutwa ukajiangusha? Walikupa sh ngapi?/vinginevyo acha uzushi wa mambo usiyoyajua

Mimi ni Muslim.. Kuna siku Yule sheikh sharifu majini. Alikuwa na mkutano pale diamond Jubilee. Nikaenda.

Mambo yakaanza. Akaanza kuita majiniiiii majiniiiii. Mara wamama wakaanza kuanguka ovyo ovyo. Hakuna mwanaume hata mmoja aliyeanguka. Akajipaka mafuta mkononi akawa anawasukumiza kwa kiganja cha mkono usoni.
Mimi nikashtuka.

Wale wanaoanguka hawaanguki kwa nguvu ya mafuta. Kuna mawili. Moja wameandaliwa au wanasukumizwa.

Sasa wengine wanakuwa wagonjwa kweli. Ukimsukumiza tu chali.
Wengine sio wagonjwa. Unamsukumiza MTU kasimama tu.
Kwa nini usipigwe mtama?
 
Kwani kuanguka ni ishara ya nini? Nguvu ya maombi ya muombaji au pepo wa anaeombewa?
 
Mkuu ushawah pigwa ban na sir god ni ban hatar kulko hata ya mods
 
Uwa wanatafutwa mapema.wanaandaliwa.
Akikuona unakuwa mgumu.anajua si MTU wake
Anakupiga mtama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Police hawana muda wa kupoteza kwa hao wajinga wanaojipeleka wenyewe kupigwa na pili Masanja kaunga juhudi za serikali kufungua kiwanda kwahyo hakuna shida hicho ni kiwanda chake cha kupatia grisi za kulainishia vyumba vilivyokaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…