duh! mbona sijaona utapeli hapo yaani nani katapeliwa sasa?Tapeli sana huyo Masanja.. matapeli wa kutumia dini wote hufanya hivyo.. Hiyo ni kuandaa watu wachache kisha wanapewa maelekezo jinsi ya kufanya kuanguka kisha wanalipwa chao.. Hiyo yote ni kuvutia biashara ya dini anayofanya.. Hakuna cha Mungu wala nn hapo.. Ni utapeli 100% kwa 100%
Mkuu umesababisha nichekee kwa sauti [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
hahahaaahaaa....atakuwa mkimbizi huyumangonifera indica ,
Mkuu
Hapa Poise , nikajidhania kuwa ni kilaza wa neno la Mwenyezi Mungu Kumbe nawe holaaaa!!
Mimi nimetoka zero kama ya fa fa fa fa fa fa fa!!
Bwana Masanja Akiangusha Watanzania.
Haahahaaaha.....Bwana Masanja Akiangusha Watanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeUwa wanatafutwa mapema.wanaandaliwa.
Akikuona unakuwa mgumu.anajua si MTU wake
Anakupiga mtama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu seriously!??Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
HahahaaaHahahahah ungekufa mbwa ww, siku ingine jiangushe fasta
...hahahahaha...we jamaa umenichekesha kinyama!Hahahahah ungekufa mbwa ww
Mkuu ww sio mTz au
The upcoming bushiriWakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?
Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.