Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja kutuambia Sativa anaongea kwenye mitandao ya kijamii! Masauni anajielewa kweli?
"Ili suala la Sativa liende haraka ni muhimu yeye mwenyewe atoe ushirikiano, ushirikiano wake bado ni mdogo katika kulisaidia jeshi la polisi kupata taarifa za yaliyomkuta
"Kitenge: Lakini alishasema alipelekwa Osyterbay, kwanini msianzie hapo?
"Wewe ndiye muhusika wa lile tukio, wewe ndio unajua kwamba umekamatwa nan ani, yukoje, baada ya kutoka hapo nikaenda wapi, kwahiyo eleza vyombo husika, usieleze kwenye mitandao ya kijamii. Mimi si ndio Waziri wa Mambo ya Ndani, basi mwabie aje wizarani kwangu, aje anieleze mimi."
Masauni hiyo Wizara imempwaya vibaya mno.Hata kwa kumwangalia na kumsikiliza jamani: Anatoa maelezo ya kuunga unga na kubabia babia...ni staha tu ya anaye muhoji...
Sativa alihojiwa na polisi kule Katavi alipotupwa na watekaji, na taarifa ya polisi ikatuambia ameshambuliwa na kitu chenye ncha kali kwenye taya.
Sasa huyu Masauni anataka Sativa ahojiwe na polisi mara ngapi? kwanini wasifanyie kazi ile taarifa ya kamanda wa polisi Katavi aliyetuambia wanaendelea na uchunguzi?
Kwa maana hiyo kumbe hata uchunguzi wa kipolisi juu ya lile tulio la kutekwa Sativa bado haujaanza?!
Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja kutuambia Sativa anaongea kwenye mitandao ya kijamii! Masauni anajielewa kweli?
Tatizo ni utumiaji wa fedha kwenye uchunguzi
Wenzetu kesi kama hii wangechunguza polisi 400 au zaidi mpaka kieleweke yaani forensics pia wangejumuishwa na maguo yao meupe mpaka silaha ipatikane na pia tukio likikuwaje
Sijui kwanini great thinkers mnatumia nguvu zenu na akili zenu kujadili ishu kama hizi. Kila mwenye akili timamu anajua wazi serekali haina utashi wala haja kuchunguza haya na simply kwa sababu inaweza kuwa nyuma ya maujinga yote haya.
Katika mazingira kama haya mnategemea Masauni aseme nini?
Ilikuwa ujinga hivi hivi wakati wa Lisu kwamba hatoi ushirikiano sasa na leo wanarudia ujinga huo huo tena.
Hata mtoto wa darasa la tatu anajua kabisa who is behind all these shit
Masauni hiyo Wizara imempwaya vibaya mno.Hata kwa kumwangalia na kumsikiliza jamani: Anatoa maelezo ya kuunga unga na kubabia babia...ni staha tu ya anaye muhoji...
Sativa alihojiwa na polisi kule Katavi alipotupwa na watekaji, na taarifa ya polisi ikatuambia ameshambuliwa na kitu chenye ncha kali kwenye taya.
Sasa huyu Masauni anataka Sativa ahojiwe na polisi mara ngapi? kwanini wasifanyie kazi ile taarifa ya kamanda wa polisi Katavi aliyetuambia wanaendelea na uchunguzi?
Kwa maana hiyo kumbe hata uchunguzi wa kipolisi juu ya lile tulio la kutekwa Sativa bado haujaanza?!
Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja kutuambia Sativa anaongea kwenye mitandao ya kijamii! Masauni anajielewa kweli?
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
Ni kama ana onyesha kuwa "guilty conscious' hivi..Haagizi yeye kweli haya yafanyike?!Yangu macho na masikio..ni suala la muda tu..Anajieleza kama mwanafunzi wa darasa la SABA...kweli.....?